Ulamaa Abagangaji
Member
- Oct 23, 2017
- 39
- 89
Habari wadau.
Naomba nijielekeze moja kwa moja kwenye hoja yangu.
Mimi naishi Rukwa,na nina kampuni iliyosajiliwa kisheria na inafanya kazi tangia miaka ya 2013. Najikita na shuguli za usafirishaji na mambo ya mazao,ikiwemo uuzaji wa mbolea.
Hivi karibuni nimefanikiwa kupata tenda ya kukusanya alizeti kiasi cha tani kadhaa ambazo kwangu zimejuwa ni nyingi sana kuweza kufadhili mradi mzima huo.
Nimekuja hapa jf kuandika kwa matumaini kwamba nitapata mtu wa kushare nae kwenye suala la kufinance ili tuweze kufanya kazi hii.
Ni mradi mkubwa mno,na kukamilika kwa mradi huu ndo kutafungua milango kwa miradi mingine mingi ya ukusanyaji wa mazao mbali mbali na mtu atakaejitokeza kuwa partner wangu kwa sasa,basi nitamuingiza kwenye mchakato.
Mtu aliye interested aniPM ili niweze kumpa details zote maana kwa hapa siwezi andika yote.