Natafuta 'Partner' wa kushirikiana nae kwenye uagent wa kukusanya alizeti

Joined
Oct 23, 2017
Posts
39
Reaction score
89
Habari wadau.

Naomba nijielekeze moja kwa moja kwenye hoja yangu.

Mimi naishi Rukwa,na nina kampuni iliyosajiliwa kisheria na inafanya kazi tangia miaka ya 2013. Najikita na shuguli za usafirishaji na mambo ya mazao,ikiwemo uuzaji wa mbolea.

Hivi karibuni nimefanikiwa kupata tenda ya kukusanya alizeti kiasi cha tani kadhaa ambazo kwangu zimejuwa ni nyingi sana kuweza kufadhili mradi mzima huo.

Nimekuja hapa jf kuandika kwa matumaini kwamba nitapata mtu wa kushare nae kwenye suala la kufinance ili tuweze kufanya kazi hii.

Ni mradi mkubwa mno,na kukamilika kwa mradi huu ndo kutafungua milango kwa miradi mingine mingi ya ukusanyaji wa mazao mbali mbali na mtu atakaejitokeza kuwa partner wangu kwa sasa,basi nitamuingiza kwenye mchakato.

Mtu aliye interested aniPM ili niweze kumpa details zote maana kwa hapa siwezi andika yote.
 
nakuja pm but bado hujatoa maelezo sawa sawa
 
Matarajio ya mradi kuanza ni lini mkuu?
Kuwa uargent wa kampuni gani?
Ni vizuri ukaeleza vizuri badala ya kuimbilia pm
Unajua pm utapeli unaanziaga uko
Sasa imani itapungua
Kama uko seriaz weka mambo hapa
Watu tutakuja tushirikiane
Ahsante sana
 
Habari wadau.

Naomba nijielekeze moja kwa moja kwenye hoja yangu.

Mimi naishi Rukwa,na nina kampuni iliyosajiliwa kisheria na inafanya kazi tangia miaka ya 2013. Najikita na shuguli za usafirishaji na mambo ya mazao,ikiwemo uuzaji wa mbolea.

Hivi karibuni nimefanikiwa kupata tenda ya kukusanya alizeti kiasi cha tani kadhaa ambazo kwangu zimejuwa ni nyingi sana kuweza kufadhili mradi mzima huo.

Nimekuja hapa jf kuandika kwa matumaini kwamba nitapata mtu wa kushare nae kwenye suala la kufinance ili tuweze kufanya kazi hii.

Ni mradi mkubwa mno,na kukamilika kwa mradi huu ndo kutafungua milango kwa miradi mingine mingi ya ukusanyaji wa mazao mbali mbali na mtu atakaejitokeza kuwa partner wangu kwa sasa,basi nitamuingiza kwenye mchakato.

Mtu aliye interested aniPM ili niweze kumpa details zote maana kwa hapa siwezi andika yote.
Taja jina la kampuni yako , je alizeti ni kwa ku -export au soko la ndani .
 
Embu kuwa muwazi hiyo project nzima itahitaji kiasi gani cha fedha......

Ingekuwa vyema kama ukaweka hapa kila kitu wadau waka discuss na hakika haitochukua muda watu wengi watakufuata huko PM
 
Umelenga kupata mshirika alafu unataka ufuatwe pm basi nakushauri umwage kila kitu hapa haswa kile cha msingi atakayekuwa tayari atakufuata tena zaidi ya pm nadhani hadi ofisini kwako.
 
Back
Top Bottom