Natafuta partnership kwenye biashara ya Clearing and Fowarding

BrownRange

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2020
Posts
927
Reaction score
1,191
Habari

Natafuta mtu wa kufanya naye biashara ya clearing and forwarding. Nina kampuni, wateja wachache ninao, natafuta mtu mwenye wateja lakini Hana kampuni nifanye naye kazi.

Naomba kuwasilisha
 
Nenda pale Posta lile jengo lao kuukuu ukutane na vishoka wasumbufu, matapeli, wahuni na wababaishaji. Fanya nao kazi kwa muda uwe unawapa commission nzuri, muda ukienda utawachuja nani anafaa.

Unaweza tumia madalali ambao wakizingua unawatema ila sio partnership. Umekosea kuanzisha kampuni bila wateja, ilibidi uwe kishoka/dalali kwanza.
 
Asante sana mkuu kwa ushauri wako
 
Back
Top Bottom