BrownRange
JF-Expert Member
- Dec 25, 2020
- 927
- 1,191
Partnership na ngozi nyeusi aka Mazombi, hapana aisee?Habari
Natafuta mtu wa kufanya naye biashara ya clearing and forwarding. Nina kampuni, wateja wachache ninao, natafuta mtu mwenye wateja lakini Hana kampuni nifanye naye kazi.
Naomba kuwasilisha
DuhPartnership na ngozi nyeusi aka Mazombi, hapana aisee?
Mbona hukumjibu huyu?Kampuni yako ina muda gani? Na umeshafanya kazi ngapi mpaka sasa,na una clear hasa aina gani ya mizgo kutoka bandarini?
Imeanza mwaka huu, nimefanya kazi Kama 80, rasmi imeanza kazi mwezi wa sita, mpaka Sasa nimefanya kazi za magari local na transit tuKampuni yako ina muda gani? Na umeshafanya kazi ngapi mpaka sasa,na una clear hasa aina gani ya mizgo kutoka bandarini?
NimeshamjibuMbona hukumjibu huyu?
Posta DSMUpo maeneo gani
Hutaki mtu wa kusaidia kazi hapo ? Sina experience ila nataka kujifunza hii kaziPosta DSM
Wewe mwenzetu Ngozi yako Nyekundu?Partnership na ngozi nyeusi aka Mazombi, hapana aisee?
Mkuu ninao wachache, bado sijawa na kazi za kutosha,Hutaki mtu wa kusaidia kazi hapo ? Sina experience ila nataka kujifunza hii kazi
Niko tayari nipe tuwasilianeHabari
Natafuta mtu wa kufanya naye biashara ya clearing and forwarding. Nina kampuni, wateja wachache ninao, natafuta mtu mwenye wateja lakini Hana kampuni nifanye naye kazi.
Naomba kuwasilisha
Njoo inboxNiko tayari nipe tuwasiliane
Asante sana mkuu kwa ushauri wakoNenda pale Posta lile jengo lao kuukuu ukutane na vishoka wasumbufu, matapeli, wahuni na wababaishaji. Fanya nao kazi kwa muda uwe unawapa commission nzuri, muda ukienda utawachuja nani anafaa.
Unaweza tumia madalali ambao wakizingua unawatema ila sio partnership. Umekosea kuanzisha kampuni bila wateja, ilibidi uwe kishoka/dalali kwanza.