Mkuu nimekujibu kwenye mesejiNaomba kufahamu vitu vifuatavyo:-
1. Una bond ya kiasi kwa ajili ya transit goods.
2. Una container deposit waiver kwenye shipping line ngapi?
Naweza kufanya kazi na wewe kama nitaridhika na hayo majibu.
NB: nitakulipa agency fee tu iwapo tutakubaliana .
Nina wateja wa
LUSAKA
MAZABUKA
NDOLA
CYANGUGU/KAMEMBE
Thanks
Wewe cheza na madalali wao wana wateja na wajanjawajanja sana. Utakuwa unauziwa kazi, sharti moja usiwe na tamaa kabisa unaweza kuta unapata 20% ya hela anayopata kwa kumsumbua mteja wake. Wewe jua market inawapa kiasi gani na uwe faster kutimiza kazi zao na uwajue wanalialia sana kutaka kupunguziwa.Asante sana mkuu kwa ushauri wako
AdditionNenda pale Posta lile jengo lao kuukuu ukutane na vishoka wasumbufu, matapeli, wahuni na wababaishaji. Fanya nao kazi kwa muda uwe unawapa commission nzuri, muda ukienda utawachuja nani anafaa.
Unaweza tumia madalali ambao wakizingua unawatema ila sio partnership. Umekosea kuanzisha kampuni bila wateja, ilibidi uwe kishoka/dalali kwanza.
Mkuu nimekutumia meseji, angaliaMimi Niko tayari kwa partnership nakupataje hujajb?
Mkuu we saivi unafanya biashara na watu wenye ngozi ganiBiashara na ngozi nyeusi iepuke
What's up no 0752355300 pleaseMkuu nimekutumia meseji, angalia
Mkuu usiweke namba huku, weka kwenye meseji, sio vizuri, labda ukiwa unatangaza biasharaWhat's up no 0752355300 please
Ingia kwenye inbox yakoWhat's up no 0752355300 please
Ofsi yako ilipo ni wapi?Imeanza mwaka huu, nimefanya kazi Kama 80, rasmi imeanza kazi mwezi wa sita, mpaka Sasa nimefanya kazi za magari local na transit tu
NimekujibIngia kwenye inbox yako
Ofisi ipo maeneo ya clock tower
sawa chiefMkuu ninao wachache, bado sijawa na kazi za kutosha,
Ukishampata mbia usisite kunitafuta mzee wa DP world nikusaidie kuwahisha kuchomoa mizigo dox...Naomba kufahamu vitu vifuatavyo:-
1. Una bond ya kiasi kwa ajili ya transit goods.
2. Una container deposit waiver kwenye shipping line ngapi?
Naweza kufanya kazi na wewe kama nitaridhika na hayo majibu.
NB: nitakulipa agency fee tu iwapo tutakubaliana .
Nina wateja wa
LUSAKA
MAZABUKA
NDOLA
CYANGUGU/KAMEMBE
Thanks
Mkuu tofautisha dalali na partnership, hawezi mtu kukuletea wateja wake , hao ni madalali ndo wanafanya hivyo sio partnerWakuu bado sijapata mtu wa kupatner mwenye wateja
Kama walivyoeleza wadau hapo juu, cheza na madalali.Wakuu bado sijapata mtu wa kupatner mwenye wateja
Vigumu sana kupata.Wakuu bado sijapata mtu wa kupatner mwenye wateja