natafuta past papers

natafuta past papers

sugi

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2011
Posts
1,392
Reaction score
295
great thinkers,natafuta past papers za pure.math,kama kuna mtu anayeweza kunielekeza nitapoweza ku download nitashukuru sana(softcopy)
 
Mbona siku hizi kuna vile vitabu vya past paper vinauzwa sana mjini hapa..nenda Mtaa wa Somora utaviona..ila naweza kukushauri pia usizipende sana kwa sasa.
wewe ni form five soma kwanza vitabu vingine kama Pure 1 and 2,tranta,Engineering Math...ukiwa fit ndo uanze na hizo papers.
 
Thanks for your good advice,nitavitafuta
 
unaenda kuanza 4m 5 unatafuta za 4m 6.
Ndio maandalizi mapema au?

Yeah,nna wasiwasi huenda hakuna material,maana cc ndo tunakwenda kuanzisha pcm,haikuwepo mwanzoni!
 
Back
Top Bottom