Natafuta Personal Driver

Natafuta Personal Driver

Je, wewe ni dereva na umekaa tu kijiweni?

Haya njoo sasa tuhojiane, nafasi hii ni kwa ajili yako.

Nipigie simu haraka.

0745540410

JamiiForums ni jumba la connection na kuboresha maisha.
Mimi sijakaa tu kijiweni lakini nina sifa zote za udereva.
Naomba hiyo kazi madamu
 
Je, wewe ni dereva na umekaa tu kijiweni?

Haya njoo sasa tuhojiane, nafasi hii ni kwa ajili yako.

Nipigie simu haraka.

0745540410

JamiiForums ni jumba la connection na kuboresha maisha.
Tapeli huyu jamaa. Yaani anakupa mchongo halafu anakuambia utakuwa unamuendesha bosi nikatie elfu 20 nikuunge ukitoa namba haipatikani jamaa atakuwa kapiga hela za faster na kutupa line hahahaha
 
Tapeli huyu jamaa. Yaani anakupa mchongo halafu anakuambia utakuwa unamuendesha bosi nikatie elfu 20 nikuunge ukitoa namba haipatikani jamaa atakuwa kapiga hela za faster na kutupa line hahahaha
Na wewe umepigwa mkuu?? Pole
 
Kwa hiyo kuna watu wamekulalamikia wameshapigwa ama??
Meseji yako imetoa conclusion kuwa jamaa ni tapeli sio kutoa tahadhari.
Hakuna kazi inayotangazwa kirahisi namna hiyo bosi. Mfano kuna tapeli mmoja lisema anaweza kureset iphone etc hasa zenye mikataba alikuwa anaibia watu shs elfu saba au tano yule jamaa alipiga sana hela
 
Back
Top Bottom