genius mvivu
Senior Member
- Apr 19, 2019
- 156
- 275
Yeah nina uzoefu wa miaka miwiliUjuzi wa kuendesha pikipiki unao?
Kaka habari... Karibu WATU Credit.. Tupo Mwenge Vinyago, Tegeta na Temeke... tunatoa mikopo ya pikipiki kwa kianzio cha Tsh 300,000 unakua unafanya marejesho kwa wiki, mkataba ni kuanzia mienzi 8 hadi 15. Vigezo vyetu ni Barua ya utambulisho kutoka serikali ya mtaa, kitambulisho hallie Kati ya NIDA, Leseni, Voter ID, Mdhamini mmoja mwenye umri kuanzia miaka 21 na TIN CERTIFICATE.Kwema wandugu....! Mbele yenu ni kijana wa miaka 24 na form six leaver miaka minne nyuma natumia jukwaa hili la jf kuomba msada jinsi ya kupata pikipiki ya mkataba kwani Niko katika jiji la Amoc makala na nikiwa nimekata tamaa na mafanikio na kazi nayoifanya...Incase ya dhamana sina chochote zaidi ya certificate zangu za kitaaluma na kitambulisho cha taifa
Unapatikana wapi mzeyaYeah nina uzoefu wa miaka miwili
Mbona kwenye vitambulisho hivi Passport ya kusafiria haipo. πππππHuu utani wa ngumi. Inakuwaje passport inakosa thamani kuliko VOTER ID. Ngoja tuwataarifu uhamiajiKaka habari... Karibu WATU Credit.. Tupo Mwenge Vinyago, Tegeta na Temeke... tunatoa mikopo ya pikipiki kwa kianzio cha Tsh 300,000 unakua unafanya marejesho kwa wiki, mkataba ni kuanzia mienzi 8 hadi 15. Vigezo vyetu ni Barua ya utambulisho kutoka serikali ya mtaa, kitambulisho hallie Kati ya NIDA, Leseni, Voter ID, Mdhamini mmoja mwenye umri kuanzia miaka 21 na TIN CERTIFICATE.
Tuna pikipiki za INDIA pekee TVS, BOXER na HUNTER.
Karibu sana
Isee hii tamu...ebu nipe comtact zenu nifanye mkakati wakutoka hapa kwa mama wa kamboKaka habari... Karibu WATU Credit.. Tupo Mwenge Vinyago, Tegeta na Temeke... tunatoa mikopo ya pikipiki kwa kianzio cha Tsh 300,000 unakua unafanya marejesho kwa wiki, mkataba ni kuanzia mienzi 8 hadi 15. Vigezo vyetu ni Barua ya utambulisho kutoka serikali ya mtaa, kitambulisho hallie Kati ya NIDA, Leseni, Voter ID, Mdhamini mmoja mwenye umri kuanzia miaka 21 na TIN CERTIFICATE.
Tuna pikipiki za INDIA pekee TVS, BOXER na HUNTER.
Karibu sana
Ila nimeshangaa kwenye vitambulisho Passport ya kusafiria haijawekwa. πππππππIsee hii tamu...ebu nipe comtact zenu nifanye mkakati wakutoka hapa kwa mama wa kambo
Wanajua sie wananchi hagukwei pipa soo hizo walizoweka zinatosha wacha tukafanye jitihada za kututoa kwenye umaskiniIla nimeshangaa kwenye vitambulisho Passport ya kusafiria haijawekwa. πππππππ