genius mvivu
Senior Member
- Apr 19, 2019
- 156
- 275
Kwema wandugu....! Mbele yenu ni kijana wa miaka 24 na form six leaver miaka minne nyuma natumia jukwaa hili la jf kuomba msada jinsi ya kupata pikipiki ya mkataba kwani Niko katika jiji la Amoc makala na nikiwa nimekata tamaa na mafanikio na kazi nayoifanya...Incase ya dhamana sina chochote zaidi ya certificate zangu za kitaaluma na kitambulisho cha taifa