Natafuta pikipiki ya Samia 2025 nianzie wapi

Natafuta pikipiki ya Samia 2025 nianzie wapi

Mama ameamua kutoa rushwa siyo! Mbona 2025 bado mbali sana si atafilisika.
 
Screenshot_20240610-141547.png
 
Naziona vitu vipya kabsaa mtaani na mimi nina shida kweli ya usafiri ningepata hiyo pikipiki hakika itanisadia kwenye mambo yangu mengi sana.

Ama hakika mama anafanya Kazi kubwa sana kuliongoza taifa na kutungaanisha wananchi, maendeleo yanaoneka, kila kijiji umeme na maji ya Bomba zinapatikana, zahanati zinajengwa kwa kila kijiji na pia ameboresha miundombinu yote sasa inapitika, Nani kama mama ?!mitaani Tena kwa Samia

Lucas Mwashamba naomba unaisadie nipate usafiri huu kwa gharama yoyote hata kwa kuchangia fomu ya Rais

0756786767
Ingia kwenye uchafu wake uwe chawa utapewa tu
 
Back
Top Bottom