Natafuta Pikipiki za kuchaji

rich1

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2015
Posts
3,020
Reaction score
3,309
Kwema wandugu....anaejua chimbo za pikipiki cha kuchaji used au mpya kwa bei nzuri aje hapa atoe connection...[emoji120]


 
linkal wanazo nenda mikocheni kanisa la mwingira karibu na tropical
 
Hii piki piki ina sifa(details zake) gani...

inatumia battery kwaiyo unaicharge...zipo za battery 4 na battery 6....mwendo kuanzia km 60 mpaka 80 respectively...unaicharge kwa masaa 6 au 7 na kama imeisha kabisa tone la mwisho ni masaa kumi kwiayo una make sure kila ukilala unailaza charge kwa shughuli zako za kesho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…