Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Upo wapme ninayo used mkuu lakini nauza 1m
weka bei mkuuChombo hiiizi uku, View attachment 2351233
Hii piki piki ina sifa(details zake) gani...
Hii piki piki ina sifa(details zake) gani...
Replacement ya battery vp
Boss kama una namba zao naomba unisaidie aiseelinkal wanazo nenda mikocheni kanisa la mwingira karibu na tropical
Niliziona kwenye duka moja linaitwa Kyela Tours mjini Kyela. Jamaa alikuwa amejaza kama pikipiki 50 za aina hiyo.Kwema wandugu....anaejua chimbo za pikipiki cha kuchaji used au mpya kwa bei nzuri aje hapa atoe connection...[emoji120]
View attachment 2246194View attachment 2246196
Bado ipo?me ninayo used mkuu lakini nauza 1m