Naomba kufahamu jukwaa naloweza kuweka research zangu moja nilifanya kama mwanafunzi wa masters, nyingine nilifanya kama independent researcher nikiwa na mwenzangu.
Naona ni knowledge inayoozea kwenye kabati najua wapo wenye uelewa wa haya mambo naomba mnisaidie.
Topic ni education management.
Study area ni hapa Tanzania kwa research zote mbili.
Nimejaribu kujiunga research gate lakini wanataka email address ya taasisi ndio waku verify. Hivyo nikashindwa.
Naomba mwenye uelewa anisaidie ikiwezekana na faida za ku-publish maana mie nafahamu inaweza nisaidia kwenye kuomba scholarship za PhD.

Kuna majukwaa kadhaa ambayo unaweza kuchapisha tafiti zako kama mwanafunzi wa masters na kama mtafiti huru bila kuhitaji barua pepe ya taasisi.
Mfano:
Hapa kuna baadhi ya majukwaa hayo pamoja na faida zake:
Majukwaa ya Kuweka Tafiti Zako 1. Google Scholar: Unaweza kuweka tafiti zako hapa bila ya kuhitaji barua pepe ya taasisi. Ni jukwaa linalotumiwa na watafiti wengi na linakupa nafasi ya kuonekana na watafiti wengine duniani.
2. Academia.edu: Hili ni jukwaa maarufu kwa watafiti na wanafunzi. Unaweza kupakia tafiti zako na kuzishiriki na watafiti wengine.
3. Zenodo: Hii ni platform huru inayoungwa mkono na European Commission. Unaweza kupakia tafiti zako na kupata DOI (Digital Object Identifier) ambayo itasaidia tafiti zako kutambulika rasmi.
4. SSRN (Social Science Research Network): Hii ni jukwaa linalotumiwa zaidi na watafiti wa masuala ya kijamii na elimu. Ni jukwaa zuri kwa tafiti zinazohusiana na education management.
5. PubMed Central: Kama tafiti zako zinaangazia zaidi upande wa afya katika usimamizi wa elimu, unaweza kutumia jukwaa hili.
Faida za Kuweka Tafiti Zako Mtandaoni 1. Kuongezeka kwa Muonekano wa Tafiti Zako: Kupitia majukwaa haya, tafiti zako zitakuwa zinapatikana kwa watafiti wengine duniani, hivyo kuongezeka kwa uwezekano wa kusomwa na kunukuliwa.
2. Kuimarisha Sifa Zako Kitaaluma: Kuwa na tafiti zilizoonekana na kunukuliwa kunakuongezea hadhi kitaaluma, na inaweza kusaidia katika kupata nafasi za ufadhili wa masomo ya PhD.
3. Fursa za Ushirikiano: Majukwaa haya yanaweza kukuunganisha na watafiti wengine ambao wanaweza kuwa na maslahi yanayofanana na yako, hivyo kuunda fursa za kushirikiana kwenye tafiti mpya.
4. Kupata Maoni na Ushauri: Tafiti zako zitakapokuwa mtandaoni, utaweza kupata maoni na ushauri kutoka kwa watafiti wengine, ambao unaweza kuboresha tafiti zako za baadaye.
5. Kujiweka Karibu na Fursa za Kitaaluma: Tafiti zilizochapishwa zinakupa nafasi nzuri ya kujulikana na taasisi zinazotafuta watafiti au wanafunzi wa PhD, hivyo kuongeza nafasi za kupata ufadhili na nafasi za kazi za kitaaluma.
Kwa hiyo, nakushauri uanze na majukwaa niliyoyataja hapo juu. Utakuwa na nafasi nzuri ya kuchapisha tafiti zako na kuanza kujenga jina lako kitaaluma.
Having understanding about equations of fluid flow and transport through porous media is very important for various applications such as in oil and gas production and petroleum reservoirs simulation. But modeling fluid flow and transport in porous
Numerical reservoir simulation, which includes the construction and operation of a model that performs similarly to a real-world reservoir, is an effective method for exploring complex reservoir issues. Due to the complexity of constructing reservoir environments for experiments, numerical...
In most countries, natural gas plays a greater role in the development of industries and the living standards of people. But natural gas supply depends on gas d
Numerical reservoir simulation, which includes the construction and operation of a model that performs similarly to a real-world reservoir, is an effective method for exploring complex reservoir issue
Kwa upande wa journals ambazo ndizo zinanguvu zaidi na ndizo ambazo zinaangaliwa sana kwenye academics.
Jaribu kuangalia journals za Elsevier. Wana journals nyingi sana.
Ukiweza kupublish andiko au tafiti yako kwenye journal zao ndipo utaweza kutambulika officially kitaaluma. Hii ndio orodha ya journals zote za Elsevier.
Kuna majukwaa kadhaa ambapo unaweza kuchapisha tafiti zako kama mwanafunzi wa masters na kama mtafiti huru bila kuhitaji barua pepe ya taasisi.
Mfano:
Kuna majukwaa kadhaa ambapo unaweza kuchapisha tafiti zako kama mwanafunzi wa masters na kama mtafiti huru bila kuhitaji barua pepe ya taasisi. Hapa kuna baadhi ya majukwaa hayo pamoja na faida zake:
Majukwaa ya Kuweka Tafiti Zako
1. Google Scholar: Unaweza kuweka tafiti zako hapa bila ya kuhitaji barua pepe ya taasisi. Ni jukwaa linalotumiwa na watafiti wengi na linakupa nafasi ya kuonekana na watafiti wengine duniani.

Faida za Kuweka Tafiti Zako Mtandaoni
1. Kuongezeka kwa Muonekano wa Tafiti Zako: Kupitia majukwaa haya, tafiti zako zitakuwa zinapatikana kwa watafiti wengine duniani, hivyo kuongezeka kwa uwezekano wa kusomwa na kunukuliwa.

kwanza asante kwa madini uliyotoa isee umetoa zaidi ya msaada...
Mimi naomba kufahamu site za kuuza jornal mbalimbali yaani mm mwandishi nataka nichapishe journals zangu kwa kuuza huko ni site gani naweza kufanya hivyo..
Ushauri wako naomba tafadhali..!

Ahsante sana kwanza kabisa journal ni mahali ambapo watafiti wote wanachapisha na kisha kuyahifadhi maandiko ya tafiti zao ili yaweze kusomwa na watu mbalimbali.
Hivyo mtu akitaka andiko la tafiti fulani anaingia kwenye journal/jarida ya hilo somo. Huko atayaona maandiko ya watafiti mbalimbali.
Hivyo mtu binafsi tu kwa kitaaluma hawezi kuandika journal yake mwenyewe ya kitaaluma.
Ila mtu binafsi anaandika andiko ambalo ndilo likikubaliwa kutokana na kwamba linakidhi vigezo vya hiyo journal linachapishwa na kuhifadhiwa.
Kuhusu kuuza andiko lako la tafiti, hakuna journal yeyote duniani unapoweza kuuza andiko lako. Isipokuwa journal ndio zinaweza kuuza andiko lako wewe. Na maandiko ambayo huuzwa ni yale tu ambayo yanachapishwa bure. Yaani journal zina machaguo mawili ya kuchapisha maandiko, kuna chaguo la bure na chaguo la kulipia. Ukichagua chaguo la bure, andiko lako litachapishwa lakini huko mtandaoni halitaweza kuonekana lote. Kitacho onekana hadharani ni abstract tu. Hivyo watu wanaotaka kusoma hilo andiko lako mtandaoni hawataweza kudownload mpaka walipie pesa.
Lakini ukichagua kulipia pesa ndio uchapishe andiko lako basi hapo andiko lako litaweza kuonekana hadharani mtandaoni na ndivyo litakavyoweza kusomwa na watu mbalimbali duniani kote bure kabisa.
SASA UNAWEZAJE KUUZA TAFITI YAKO
Ila vipo vyuo na baadhi ya wizara duniani hutenga fungu la fedha za kuwazawadia wanataaluma wanaofanikiwa kuchapicha maandiko yao kwenye journal zenye sifa kubwa duniani.
Lengo ni kuwa motivate watafiti, kukuza elimu, kukuza ubunifu na kuviweka vyuo vya nchi hiyo katika nafasi za juu duniani.
Ni tafiti tu ndizo zinaweza kukiweka chuo katika nafasi za juu.
Mfano vyuo vya CHINA hutoa zawadi ya yuan 10000 na Yuan 5000 kwa mwanafunzi anayefanikiwa kuchapisha andiko kwenye journals zenye impact factor and citation score kubwa duniani (T1 na T2). Sijajua kama kwasasa utaratibu umebadilika. Kufanya hivyo kumekua kunawavutia wanafunzi na wanataaluma kuchapisha maandiko mengi na ndivyo vyuo vya CHINA vimeanza kushika nafasi za juu kwenye rank za dunia.
Kwa Tanzania waziri wa elimu alitenga fedha kwaajili ya kuwazawadia wanataaluma wanaochapisha maandiko kwenye journal zenye impact factor na citation score kubwa duniani.
Nadhani zawadi ilikua ni millioni 50. Sijajua imeishia wapi mpaka sasa.
Hivyo ndivyo unavyoweza kupata pesa kupitia andiko lako la kitaaluma ulilochapisha kwenye journals au majarida ya kitaaluma.
Lakini umeandika labda ni kitabu chako hapo sasa unaweza kukichapisha mwenyewe kwa publishers then ukaki upload Amazon, blogs au kwenye tovuti fulani ambayo unaweza kuifanya ili mtu akipakue kukisoma lazima alipie kwanza.
Ahsante sana kwanza kabisa journal ni mahali ambapo watafiti wote wanachapisha na kisha kuyahifadhi maandiko ya tafiti zao ili yaweze kusomwa na watu mbalimbali.
Hivyo mtu akitaka andiko la tafiti fulani anaingia kwenye journal/jarida ya hilo somo. Huko atayaona maandiko ya watafiti mbalimbali.
Hivyo mtu binafsi tu kwa kitaaluma hawezi kuandika journal yake mwenyewe ya kitaaluma.
Ila mtu binafsi anaandika andiko ambalo ndilo likikubaliwa kutokana na kwamba linakidhi vigezo vya hiyo journal linachapishwa na kuhifadhiwa.
Kuhusu kuuza andiko lako la tafiti, hakuna journal yeyote duniani unapoweza kuuza andiko lako. Isipokuwa journal ndio zinaweza kuuza andiko lako wewe. Na maandiko ambayo huuzwa ni yale tu ambayo yanachapishwa bure. Yaani journal zina machaguo mawili ya kuchapisha maandiko, kuna chaguo la bure na chaguo la kulipia. Ukichagua chaguo la bure, andiko lako litachapishwa lakini huko mtandaoni halitaweza kuonekana lote. Kitacho onekana hadharani ni abstract tu. Hivyo watu wanaotaka kusoma hilo andiko lako mtandaoni hawataweza kudownload mpaka walipie pesa.
Lakini ukichagua kulipia pesa ndio uchapishe andiko lako basi hapo andiko lako litaweza kuonekana hadharani mtandaoni na ndivyo litakavyoweza kusomwa na watu mbalimbali duniani kote bure kabisa.
SASA UNAWEZAJE KUUZA TAFITI YAKO
Ila vipo vyuo na baadhi ya wizara duniani hutenga fungu la fedha za kuwazawadia wanataaluma wanaofanikiwa kuchapicha maandiko yao kwenye journal zenye sifa kubwa duniani. Lengo ni kuwa motivate watafiti, kuuza elimu, kukuza ubunifu na kuviweka vyuo vya nchi hiyo katika nafasi za juu duniani.
Ni tafiti tu ndizo zinaweza kukiweka chuo katika nafasi za juu.
Mfano vyuo vya CHINA hutoa zawadi ya yuan 10000 na Yuan 5000 kwa mwanafunzi anayefanikiwa kuchapisha andiko kwenye journals zenye impact factor and citation score kubwa duniani (T1 na T2). Sijajua kama kwasasa utaratibu umebadilika. Kufanya hivyo kumekua kuwavutia wanafunzi kuchapisha maandiko mengi na ndivyo vyuo vya CHINA vimeanza kushika nafasi za juu.
Kwa Tanzania wanzania waziri wa elimu alitenga fedha kwaajili ya kuwazawadia wanataaluma wanaochapisha maandiko kwenye journal zenye impact factor na citation score kubwa duniani.
Nadhani zawadi ilikua ni millioni 50. Sijajua imeishiwa wapi mpaka sasa.
Hivyo ndivyo unavyoweza kupata pesa kupitia andiko lako la kitaalum ulilochapisha kwenye journals au majarida ya kitaaluma.
Lakini umeandika labda ni kitabu chako hapo sasa unaweza kukichapisha mwenye kwa publishers then ukaki upload Amazon, blogs au kwenye tovuti fulani ambayo unaweza kuifanya ili mtu akipakue kukisoma lazima alipie kwanza.
Shule ni kama uchawi fulani ukiwa nayo ma mambo magumu ila yapo yanaendelea duniani kwa ulimwengu wa wasomi. Hivi tofauti ya research na article ni nini maana uwa nasikia kuandika article ukisoma ni kama research tu ila haifanan na article za kwenye magazeti

Research ni tafiti yeyote inayofanywa au iliyofanywa kwaajili ya kutoa maarifa au kutatua tatizo fulani au kuvumbua kitu fulani.
Matokeo yaliyo patikana baada ya kufanya tafiti yanaweza kuandikwa au yasiandikwe.
Article ni andiko. Na hilo andiko linaweza kuwa la kuelezea tafiti iliyofanywa au habari fulani au maoni.
Hata wewe unavyo andika maoni yako hapa jamii forums hayo ni maandiko hata hizi nyuzi zinazo andikwa na watu mbalimbali ni maandiko (articles).
Kwa maana hiyo kuna maandiko ya kitaaluma ambayo ndio hizo taafiti zilizo wekwa katika mtindo wa maandishi na maandiko ya habari au maoni yaani habari au maoni yaliyowekwa katika mtindo wa maandishi.
Kwa kiswahili kizuri andiko linaitwa makala.
Katika anga za kitaaluma kuna maandiko au makala za aina nyingi.
1. Research paper: hili ni andiko fupi la tafiti lililo chapishwa kwenye jarida (journal).
2. Thesis: kwa Marekani ni andiko la tafiti linaloandikwa na mwanafunzi wa masters kwa ajili ya kukamilisha shahada ya uzamili (Master's degree)
Kwa wingereza na sehemu nyingine Thesis ni andiko la utafiti linaloandikwa na mwanafunzi wa PhD ili kukamilisha shahada ya uzamivu (PhD).
3. Dissertation: kwa Marekani ni andiko la tafiti linalo andikwa na mwanafunzi wa PhD ili kukamilisha shahada ya uzamivu (PhD).
Nchini Uingereza na sehemu nyingine: Dissertation ni andiko la utafiti linalo andikwa na mwanafunzi wa masters kwa ajili ya kukamilisha shahada ya uzamili (Master's degree).
Naomba kufahamu jukwaa naloweza kuweka research zangu moja nilifanya kama mwanafunzi wa masters, nyingine nilifanya kama independent researcher nikiwa na mwenzangu.
Naona ni knowledge inayoozea kwenye kabati najua wapo wenye uelewa wa haya mambo naomba mnisaidie.
Topic ni education management.
Study area ni hapa Tanzania kwa research zote mbili.
Nimejaribu kujiunga research gate lakini wanataka email address ya taasisi ndio waku verify. Hivyo nikashindwa.
Naomba mwenye uelewa anisaidie ikiwezekana na faida za ku-publish maana mie nafahamu inaweza nisaidia kwenye kuomba scholarship za PhD.
Kabla ya kuwekwa mtandaoni tafiti zote huwa zinapitia mchakato wa kuhaririwa (editing) na kupitiwa (review). Na wanao review ni wanataaluma mbalimbali duniani.
Wakisha review wanakurudishia tena uhariri upia kuanzia concept hadi lugha.
Hapa ndio pana mchakato mgumu kwelikweli na ndio maana sio kila mtu anaweza kuchapisha andiko mtandaoni kwa muda mfupi hasa kwenye journals zenye sifa duniani.
Research ni tafiti yeyote inayofanywa au iliyofanywa kwaajili ya kutoa maarifa au kutatua tatizo fulani au kuvumbua kitu fulani.
Matokeo yaliyo patikana baada ya kufanya tafiti yanaweza kuandikwa au yasiandikwe.
Article ni andiko. Na hilo andiko linaweza kuwa la kuelezea tafiti iliyofanywa au habari fulani au maoni.
Hata wewe unavyo andika maoni yako hapa jamii forums hayo ni maandiko hata hizi nyuzi zinazo andikwa na watu mbalimbali ni maandiko (articles).
Kwa maana hiyo kuna maandiko ya kitaaluma ambayo ndio hizo taafiti zilizo wekwa katika mtindo wa maandishi na maandiko ya habari au maoni yaani habari au maoni yaliyowekwa katika mtindo wa maandishi.
Kwa kiswahili kizuri andiko linaitwa makala.
Katika anga za kitaaluma kuna maandiko au makala za aina nyingi.
1. Research paper: hili ni andiko fupi la tafiti lililo chapishwa kwenye jarida (journal).
2. Thesis: kwa Marekani ni andiko la tafiti linaloandikwa na mwanafunzi wa masters kwa ajili ya kukamilisha shahada ya uzamili (Master's degree)
Kwa wingereza na sehemu nyingine Thesis ni andiko la utafiti linaloandikwa na mwanafunzi wa PhD ili kukamilisha shahada ya uzamivu (PhD).
3. Dissertation: kwa Marekani ni andiko la tafiti linalo andikwa na mwanafunzi wa PhD ili kukamilisha shahada ya uzamivu (PhD).
Nchini Uingereza na sehemu nyingine: Dissertation ni andiko la utafiti linalo andikwa na mwanafunzi wa masters kwa ajili ya kukamilisha shahada ya uzamili (Master's degree).
Utangulizi Somo la hisabati (mathematics) ni moja kati ya masomo yaliyoko kwenye mtaala wa masomo Tanzania kwa kidato cha kwanza hadi cha nne. Kutokana na umhimu wake kwa mtu binafsi, jamii na taifa kwa ujumla, somo hili ni msingi kwa kila mwanafunzi katika ngazi hiyo kulisoma na kufanyiwa...
Kuna majukwaa kadhaa ambayo unaweza kuchapisha tafiti zako kama mwanafunzi wa masters na kama mtafiti huru bila kuhitaji barua pepe ya taasisi.
Mfano:
Hapa kuna baadhi ya majukwaa hayo pamoja na faida zake:
Majukwaa ya Kuweka Tafiti Zako 1. Google Scholar: Unaweza kuweka tafiti zako hapa bila ya kuhitaji barua pepe ya taasisi. Ni jukwaa linalotumiwa na watafiti wengi na linakupa nafasi ya kuonekana na watafiti wengine duniani.
2. Academia.edu: Hili ni jukwaa maarufu kwa watafiti na wanafunzi. Unaweza kupakia tafiti zako na kuzishiriki na watafiti wengine.
3. Zenodo: Hii ni platform huru inayoungwa mkono na European Commission. Unaweza kupakia tafiti zako na kupata DOI (Digital Object Identifier) ambayo itasaidia tafiti zako kutambulika rasmi.
4. SSRN (Social Science Research Network): Hii ni jukwaa linalotumiwa zaidi na watafiti wa masuala ya kijamii na elimu. Ni jukwaa zuri kwa tafiti zinazohusiana na education management.
5. PubMed Central: Kama tafiti zako zinaangazia zaidi upande wa afya katika usimamizi wa elimu, unaweza kutumia jukwaa hili.
Faida za Kuweka Tafiti Zako Mtandaoni 1. Kuongezeka kwa Muonekano wa Tafiti Zako: Kupitia majukwaa haya, tafiti zako zitakuwa zinapatikana kwa watafiti wengine duniani, hivyo kuongezeka kwa uwezekano wa kusomwa na kunukuliwa.
2. Kuimarisha Sifa Zako Kitaaluma: Kuwa na tafiti zilizoonekana na kunukuliwa kunakuongezea hadhi kitaaluma, na inaweza kusaidia katika kupata nafasi za ufadhili wa masomo ya PhD.
3. Fursa za Ushirikiano: Majukwaa haya yanaweza kukuunganisha na watafiti wengine ambao wanaweza kuwa na maslahi yanayofanana na yako, hivyo kuunda fursa za kushirikiana kwenye tafiti mpya.
4. Kupata Maoni na Ushauri: Tafiti zako zitakapokuwa mtandaoni, utaweza kupata maoni na ushauri kutoka kwa watafiti wengine, ambao unaweza kuboresha tafiti zako za baadaye.
5. Kujiweka Karibu na Fursa za Kitaaluma: Tafiti zilizochapishwa zinakupa nafasi nzuri ya kujulikana na taasisi zinazotafuta watafiti au wanafunzi wa PhD, hivyo kuongeza nafasi za kupata ufadhili na nafasi za kazi za kitaaluma.
Kwa hiyo, nakushauri uanze na majukwaa niliyoyataja hapo juu. Utakuwa na nafasi nzuri ya kuchapisha tafiti zako na kuanza kujenga jina lako kitaaluma.
Having understanding about equations of fluid flow and transport through porous media is very important for various applications such as in oil and gas production and petroleum reservoirs simulation. But modeling fluid flow and transport in porous
Numerical reservoir simulation, which includes the construction and operation of a model that performs similarly to a real-world reservoir, is an effective method for exploring complex reservoir issues. Due to the complexity of constructing reservoir environments for experiments, numerical...
In most countries, natural gas plays a greater role in the development of industries and the living standards of people. But natural gas supply depends on gas d
Numerical reservoir simulation, which includes the construction and operation of a model that performs similarly to a real-world reservoir, is an effective method for exploring complex reservoir issue
Kwa upande wa journals ambazo ndizo zinanguvu zaidi na ndizo ambazo zinaangaliwa sana kwenye academics.
Jaribu kuangalia journals za Elsevier. Wana journals nyingi sana.
Ukiweza kupublish andiko au tafiti yako kwenye journal zao ndipo utaweza kutambulika officially kitaaluma. Hii ndio orodha ya journals zote za Elsevier.
Kuna majukwaa kadhaa ambayo unaweza kuchapisha tafiti zako kama mwanafunzi wa masters na kama mtafiti huru bila kuhitaji barua pepe ya taasisi.
Mfano:
Hapa kuna baadhi ya majukwaa hayo pamoja na faida zake:
Majukwaa ya Kuweka Tafiti Zako 1. Google Scholar: Unaweza kuweka tafiti zako hapa bila ya kuhitaji barua pepe ya taasisi. Ni jukwaa linalotumiwa na watafiti wengi na linakupa nafasi ya kuonekana na watafiti wengine duniani.
2. Academia.edu: Hili ni jukwaa maarufu kwa watafiti na wanafunzi. Unaweza kupakia tafiti zako na kuzishiriki na watafiti wengine.
3. Zenodo: Hii ni platform huru inayoungwa mkono na European Commission. Unaweza kupakia tafiti zako na kupata DOI (Digital Object Identifier) ambayo itasaidia tafiti zako kutambulika rasmi.
4. SSRN (Social Science Research Network): Hii ni jukwaa linalotumiwa zaidi na watafiti wa masuala ya kijamii na elimu. Ni jukwaa zuri kwa tafiti zinazohusiana na education management.
5. PubMed Central: Kama tafiti zako zinaangazia zaidi upande wa afya katika usimamizi wa elimu, unaweza kutumia jukwaa hili.
Faida za Kuweka Tafiti Zako Mtandaoni 1. Kuongezeka kwa Muonekano wa Tafiti Zako: Kupitia majukwaa haya, tafiti zako zitakuwa zinapatikana kwa watafiti wengine duniani, hivyo kuongezeka kwa uwezekano wa kusomwa na kunukuliwa.
2. Kuimarisha Sifa Zako Kitaaluma: Kuwa na tafiti zilizoonekana na kunukuliwa kunakuongezea hadhi kitaaluma, na inaweza kusaidia katika kupata nafasi za ufadhili wa masomo ya PhD.
3. Fursa za Ushirikiano: Majukwaa haya yanaweza kukuunganisha na watafiti wengine ambao wanaweza kuwa na maslahi yanayofanana na yako, hivyo kuunda fursa za kushirikiana kwenye tafiti mpya.
4. Kupata Maoni na Ushauri: Tafiti zako zitakapokuwa mtandaoni, utaweza kupata maoni na ushauri kutoka kwa watafiti wengine, ambao unaweza kuboresha tafiti zako za baadaye.
5. Kujiweka Karibu na Fursa za Kitaaluma: Tafiti zilizochapishwa zinakupa nafasi nzuri ya kujulikana na taasisi zinazotafuta watafiti au wanafunzi wa PhD, hivyo kuongeza nafasi za kupata ufadhili na nafasi za kazi za kitaaluma.
Kwa hiyo, nakushauri uanze na majukwaa niliyoyataja hapo juu. Utakuwa na nafasi nzuri ya kuchapisha tafiti zako na kuanza kujenga jina lako kitaaluma.
Having understanding about equations of fluid flow and transport through porous media is very important for various applications such as in oil and gas production and petroleum reservoirs simulation. But modeling fluid flow and transport in porous
Numerical reservoir simulation, which includes the construction and operation of a model that performs similarly to a real-world reservoir, is an effective method for exploring complex reservoir issues. Due to the complexity of constructing reservoir environments for experiments, numerical...
In most countries, natural gas plays a greater role in the development of industries and the living standards of people. But natural gas supply depends on gas d
Numerical reservoir simulation, which includes the construction and operation of a model that performs similarly to a real-world reservoir, is an effective method for exploring complex reservoir issue
Kwa upande wa journals ambazo ndizo zinanguvu zaidi na ndizo ambazo zinaangaliwa sana kwenye academics.
Jaribu kuangalia journals za Elsevier. Wana journals nyingi sana.
Ukiweza kupublish andiko au tafiti yako kwenye journal zao ndipo utaweza kutambulika officially kitaaluma. Hii ndio orodha ya journals zote za Elsevier.
Naomba kufahamu jukwaa naloweza kuweka research zangu moja nilifanya kama mwanafunzi wa masters, nyingine nilifanya kama independent researcher nikiwa na mwenzangu.
Naona ni knowledge inayoozea kwenye kabati najua wapo wenye uelewa wa haya mambo naomba mnisaidie.
Topic ni education management.
Study area ni hapa Tanzania kwa research zote mbili.
Nimejaribu kujiunga research gate lakini wanataka email address ya taasisi ndio waku verify. Hivyo nikashindwa.
Naomba mwenye uelewa anisaidie ikiwezekana na faida za ku-publish maana mie nafahamu inaweza nisaidia kwenye kuomba scholarship za PhD.
Journals nzuri kwenye field ya Education Administration kulingana na google scholar hi hizi hapa kwenye link hii. Nimepitia editorial pages zao karibu wote hawachaji publication fee yoyote isipokuwa ukitaka paper yako iwe open access
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.