isajorsergio
Platinum Member
- Apr 22, 2018
- 4,143
- 6,560
Watafute Jehovah's witnesses.1: Watu ambao Faida za Biashara zao ni kuanzia Bilioni 1, au wenye mpango na malengo kama hayo kwa Baadae hata kama Leo hana uhakika hata wa mlo mmoja.
2: Watu wanye mpango wa kuwa 'Vegans' ( no animal products) au hawali dead foods.
3: Watu ambao wanampango wa Kwenda Mbinguni na wako serious na mahusiano yao na Mungu (Abrahamic God).
4: Watu ambao wanaamini katika Familia ya Baba na Mama na Watoto bila mchepuko au make mwenza.
Kama kuna sehemu wanapatikana watu hawa online at least kimoja Wapo tupeane taarifa wakuu.
Sio lazima iwe Tanzania hata kama ni Alaska au Antarctica na wanagroup la Whatsapp au social network yoyote.
Msaada wakuu.
Wasiliana na ile kamati ya viongozi wa dini, wako tayari kama posho iko tayari.1: Watu ambao Faida za Biashara zao ni kuanzia Bilioni 1, au wenye mpango na malengo kama hayo kwa Baadae hata kama Leo hana uhakika hata wa mlo mmoja.
2: Watu wanye mpango wa kuwa 'Vegans' ( no animal products) au hawali dead foods.
3: Watu ambao wanampango wa Kwenda Mbinguni na wako serious na mahusiano yao na Mungu (Abrahamic God).
4: Watu ambao wanaamini katika Familia ya Baba na Mama na Watoto bila mchepuko au make mwenza.
Kama kuna sehemu wanapatikana watu hawa online at least kimoja Wapo tupeane taarifa wakuu.
Sio lazima iwe Tanzania hata kama ni Alaska au Antarctica na wanagroup la Whatsapp au social network yoyote.
Msaada wakuu.
Jitengeneze wewe tukufollow1: Watu ambao Faida za Biashara zao ni kuanzia Bilioni 1, au wenye mpango na malengo kama hayo kwa Baadae hata kama Leo hana uhakika hata wa mlo mmoja.