Mrembo JF-Expert Member Joined Oct 9, 2008 Posts 415 Reaction score 219 Mar 30, 2011 #1 Habari zenu wakuu, Jamani mimi ni mjasiliamali. natafuta mahali ambapo nitaweza kupa mifuko ya ambayo nitaprint my logo, kwa ajili ya kuwawekea wateja wangu bidhaa. mwenye information naomba anisaidie. nawatakia wote siku njema
Habari zenu wakuu, Jamani mimi ni mjasiliamali. natafuta mahali ambapo nitaweza kupa mifuko ya ambayo nitaprint my logo, kwa ajili ya kuwawekea wateja wangu bidhaa. mwenye information naomba anisaidie. nawatakia wote siku njema
M Mwasongwec Member Joined Oct 15, 2007 Posts 5 Reaction score 0 Mar 30, 2011 #2 the go the magictouch kwenye jengo la kibodya hotel next door from backlay bank
Mrembo JF-Expert Member Joined Oct 9, 2008 Posts 415 Reaction score 219 Mar 30, 2011 Thread starter #3 nimezunguka kwa printers wengi wanasema hawaprint plastic bags!
M Mwasongwec Member Joined Oct 15, 2007 Posts 5 Reaction score 0 Mar 30, 2011 #4 then call this number 0754 470787 i hope he can help you in one way or another
Mrembo JF-Expert Member Joined Oct 9, 2008 Posts 415 Reaction score 219 Mar 30, 2011 Thread starter #5 Mwasongwec said: the go the magictouch kwenye jengo la kibodya hotel next door from backlay bank Click to expand... asante mkuu. you mean barclays ya mjini opposite royal palm?
Mwasongwec said: the go the magictouch kwenye jengo la kibodya hotel next door from backlay bank Click to expand... asante mkuu. you mean barclays ya mjini opposite royal palm?
Mrembo JF-Expert Member Joined Oct 9, 2008 Posts 415 Reaction score 219 Mar 30, 2011 Thread starter #6 Mwasongwec said: then call this number 0754 470787 i hope he can help you in one way or another Click to expand... asante sana. nitawatafuta hawa jamaa.
Mwasongwec said: then call this number 0754 470787 i hope he can help you in one way or another Click to expand... asante sana. nitawatafuta hawa jamaa.
Mrembo JF-Expert Member Joined Oct 9, 2008 Posts 415 Reaction score 219 Mar 30, 2011 Thread starter #7 jamani mawazo mengine yanakaribishwa. nimeona watu wengine wanaagiza china. je is it cheaper kuprint China ukiingiza gharama za usafirishaji na kodi?
jamani mawazo mengine yanakaribishwa. nimeona watu wengine wanaagiza china. je is it cheaper kuprint China ukiingiza gharama za usafirishaji na kodi?