Natafuta Proffesional massage

Natafuta Proffesional massage

Unaweza mkuu sema c tumezoea kwenda hosp ad mtu uumwe ukiwa mzima unaenda zako spa kwenye bode to bode na massage za konokono😂😂
Dah asante kwa kunionyesha sehemu nyengine nzuri ya kutumia pesa zangu.

#YNWA
 
Back
Top Bottom