National Anthem
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 19,173
- 56,213
Sawa.. Ndo usipokee cm yangu kaka mkubwaππ
Nasema tuu dawa ya deni ni kulipaa broππππ π umenisamehe deni kwani au ndio unakumbushia
ππ ntakulipa tu sister, goja goja sasa hivi walevi wamekuwa makini sana na simu zao,Nasema tuu dawa ya deni ni kulipaa broπππ
Dah asante kwa kunionyesha sehemu nyengine nzuri ya kutumia pesa zangu.Unaweza mkuu sema c tumezoea kwenda hosp ad mtu uumwe ukiwa mzima unaenda zako spa kwenye bode to bode na massage za konokonoππ
tabata muslim pale nje iko na wanafanya massage therapy, ni sehemu yenye heshima na professionalism.