Asubuhi ulikuwa unatafuta Jimama la kukulea, Mchana ukasema unatafuta mfazili wa kukusomesha baada ya kufeli vibaya form six na una mzazi mmoja,,, Jioni umekuja tena unatafuta mdada awe rafiki yako?? Nakuuliza ww ni timamu??? Nin kinakutatiza? Rudi FB.