natafuta rafik wa kike

natafuta rafik wa kike

Baso

Member
Joined
Oct 27, 2012
Posts
34
Reaction score
9
Mim mvulana wa miaka 22 natafuta rafik wa kike cbagui.
 
Umetoka ucngzn nn wa kwe2? Unatafuta mchumba jukwaa la utambulisho? Au umepiga mangwre mze! Hapa ni utambulisho!
 
Mim mvulana wa miaka 22 natafuta rafik wa kike cbagui.



Asubuhi ulikuwa unatafuta Jimama la kukulea, Mchana ukasema unatafuta mfazili wa kukusomesha baada ya kufeli vibaya form six na una mzazi mmoja,,, Jioni umekuja tena unatafuta mdada awe rafiki yako?? Nakuuliza ww ni timamu??? Nin kinakutatiza? Rudi FB.
 
Mimi ni babu wa miaka 72,natafuta mvulana wa kumlea awe na umri wa miaka 22.
 
Back
Top Bottom