Natafuta rafiki Anaependa Tour Tuwe tunasafiri kila mwaka kwenda nchi mbali mbali!

Technophilic Pool

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2024
Posts
2,597
Reaction score
3,965
Wakuu niko na obsession ya kusafiri kama wale youtuber shida sijapata company .
Au mtu mwenye hoby kama yangu.
So naishia kugairi kila mara

Imagine sijafika hata BURUNDI tu.
Kusafiri mwenyewe naona ni Risk sana hasa nchi za ugenini.

Tuanze na nchi za Africa kwanza

Mawazo tafadhari
 
twende congo mwezi ujao mkuu
 
Wale youtuber wengi huwa wanasafiri wenyewe, kama ni mpenda picha unakua na vifaa vya kushikikia simu yako tu unapochukua video, vipo vingi tu.

Kama ni muongeaji na unajua kujichanganya sio ishu, tatizo ni kama wewe ndo wale mnajiita introvert utaishi kibubu bubu usijue mengi.
 
Wewe ni Me au Ke Tuanzie hapo kwanza!
 
Mungu amejibu maombi yako, nipo hapa haya sema kituo cha kwanza ni kipi. nipo tayali kwa safari
 
Taja jinsia yako upate msaada😂😂😂
 
Kaa andika plan na total cost then tuone tunafanyaje binafsi napenda kusafiri
 
Simply anza wewe kusafiri kwanza, then the rest will just happen on the way....you will find friends and people of the same interests, that how we do it, travellers!
 
Wewe jinsia gani? Maana kuna wengine wanapenda vizinga balaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…