Natafuta rafiki Anaependa Tour Tuwe tunasafiri kila mwaka kwenda nchi mbali mbali!

Safi sana.

Nilikuwa nafikiria sana kuanzisha uzi kama huu. Ungekuwa mwanamke ungepata kampani yangu.

Mimi nimekuwa nikisafiri nchi mbalimbali peke yangu hapo kabla hadi sasa naendelea na utaratibu huo lakini bahati nzuri nimepata kampani ya watu wa kusafiri nao kutoka Afrika ya Magharibi, Kusini na Mashariki.

Hivyo wewe safiri tu utakutana na kampani huko raia wa Tanzania na hata wa nje, hakika utafurahia safari zako.
 
sasa hao raia wa magharibi au kenya hapana wanaweza kukuuza huko nje
 
Hata sisi tunaweza kuwauza.

Hao ndio watu utakaokutana nao nchi mbalimbali.
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ndio lakin tofaut mfano na wakenya wao hawana ujamaa kwene damu yao wao n full capitalist they can do anything for money
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ