Natafuta rafiki/mchumba aje kuwa mume

Bora utafute pesa usomeshe mtoto kuliko kutafta Mme!
Jiweke vizur, jipende mwanaune watajipendekeza wenyewe bila kujua unamtoto hapo ndo utakula kichwa!
Kwa kutangaza unamtoto unakmbza mabwana
wenye akili wataelewa coz ukificha now mtu aje kugundua baadae huoni kwamba itakuwa tatizo zaidi
 
wewe
Inaonanyesha ww muislam jina tu usituzinguwe, muumin wa kiislam habadili dini kwa kutaka mume.
wewe wasema.then tuheshimiane usiniletee lugha za kihuni,suala la kubadili dini kwangu naona sawa kwa kuwa naamini Mungu ni mmoja,na sihitaji kuwa na ndoa ambayo haina kibali mbele za mungu pia mimi binafsi nisingependa mwanaume abadili dini sihitaji kuonekana namtawala ila nimpe heshima yake kama mume.......so "sikizungui"
 
ni mtazamo wako tu ila mimi huwa siangalii nyuma once ninapoamua kusonga mbele na tuliachana tangu mtoto ana miaka mitatu namrudia ili iweje
 
Kwakweli..............

Umesema una hofu ya mungu????!!!!
Alaf upo tayal kubadili dini???

Kweli una shida ya ndoa...
Kila la kheri
ninayo na ndio maana sitaki kuwa na ndoa isiyo na kibali mbele za mungu,na nitabadili kama itabidi ili tusizini
 
nad
 
Kubadili dini alaf wasema una hof ya mungu ww hujtambui
wewe ndo hujitambui na ndo maana hutambui kuwa Mungu ni mmoja,acha ubaguzi mbona huwa hushangai mkristo kumfuata mwislam
 
Basi mimi hataka nikuzuie usibadili dini
Lakin uwe mke wa pili unakubali???
 
Baba mtoto alikufa???[emoji51][emoji51]
 
Nilitaka kujitosa lkn jina lako la "SIMBA JIKE" limenitisha sana maana sikuzote nyikani Simba jike ndio wanaoongoza kwa ukali. ..
 
wenye akili wataelewa coz ukificha now mtu aje kugundua baadae huoni kwamba itakuwa tatizo zaidi
Hapaswa kujua, akijua tu unatoto hamu na we we inaisha, ataishia kula uroda tu,
Usimwambie chochote, mpagawishe na mahaba, akikolea na tayar ushamwngza gharama za kifedha nyingi kulko maelezo, hata akijua ataishia kulia hakuachi, ndo inakuwa imekula kwake!
Upo hapo?
 
uko vizuri ila umechelewa kidogo tu nimeoa mwaka jana vinginevyo ningekupm
 
Kabila na vipimo vya maumbile kama vile uzito, urefu, nk
 
Mm nina wake watatu na watoto 9.vigezo vyote nnavyo unaonaje uwe mke wa nne?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…