Natafuta Rafiki, Mchumba

Jamani uzuri uko kwa mtazamaji. Kuna wanene wazuri na wembamba wazuri. Ishu si kuonana?
 
Ni vigumu kumpata mchumba wa kweli humu labda uwe makini sana.
 
Mh mie hapa si bahati yangu maana anataka slim fit mie tipwa (ingawa spring chicken- just turned to 23 jana lol)ataniangalia kweli! Kila la kheri mziwanda wangoje kina naniliu wanakuja sasa hivi!
shost unene si tija muhimu jinsi ya kuutumia waweza kuwa bonge na ukawa active kuliko sie vi-tritel, mobitel ............
 
shost unene si tija muhimu jinsi ya kuutumia waweza kuwa bonge na ukawa active kuliko sie vi-tritel, mobitel ............

Aksante shost kwa kunipa moyo ila sasa hawa kina kaka zetu weshatunyanyapaa mwenzangu maana kila ajae anaorder vi-laptops! sie ma-desktops hatuna thamani tena !
 
Aksante shost kwa kunipa moyo ila sasa hawa kina kaka zetu weshatunyanyapaa mwenzangu maana kila ajae anaorder vi-laptops! sie ma-desktops hatuna thamani tena !
hahhahahahhaahaa hapo umenimaliza mama ila si unajua hiyo ndiyo hulka yao hata ukiwa laptop mama waataanza oooh mie sitaki Toshiba or Dell nzito sana wanataka vile vi-ACER aspier vya kuweka kwapani na kukimbia navyo....... so hawatosheki mummy
 
Hapo sasa na si ndio maana akina Mziwanda wanachechetuka haya ngoja nikae kando mie shostito niwaachie kina Kelly01 lol
 
Hapo sasa na si ndio maana akina Mziwanda wanachechetuka haya ngoja nikae kando mie shostito niwaachie kina Kelly01 lol
ndio hapo sasa mummy kunguru muoga?.......................................
 
shost unene si tija muhimu jinsi ya kuutumia waweza kuwa bonge na ukawa active kuliko sie vi-tritel, mobitel ............

baelezeee...mi ivo mnaita sijui vimobitel havipandi kabisa🙄
 
Hapo sasa na si ndio maana akina Mziwanda wanachechetuka haya ngoja nikae kando mie shostito niwaachie kina Kelly01 lol

wewe mbona nimekupa nafasi unashindwa kuitumia mama au bado unalia na mziwanda?
 
Naona wadada wa humu jamvini wanajishtukia sana. Tupeane hayo ma PM ili tutafutane enyi wadada. Yaelekea pia fidel na egypt mnawafaham wadada wa humu ndani
 
Vp kimaisha una salio? ili mabinti wabonyeze alama ya #
 
Vp kimaisha una salio? ili mabinti wabonyeze alama ya #....hahahahahahahaha..hii mpya mkuu.bigup!
 
Mr. Pelle hebu fafanua hapo kwenye #. Ila mshiko 50/50. Pia nilichemsha nikataja egypt kumbe kaizer.
 
wewe mbona nimekupa nafasi unashindwa kuitumia mama au bado unalia na mziwanda?

Eh Fidel mwaliko nimeupata ila mwenzangu sera zako kwangu ngumu! Maana mh hata sijui nijiteteeje kusema ukweli ile idara ambayo kwako ni muhimu sana mie siiwezi!!........ sina budi
 
MZIWANDA uko tayari kuchaguliwa kitu chochote hata kama ni used,
ustarabu wa kutafutiwa kitu ni issue kweli,
 
Mi nafikiri hapa nikuishiwa fikira,mchumba halisi wa kitanzania huwezi kumpata kwenye matangazo.vinginevyo utapata kanyaboya.Nakushauri utumie dadazako au rafiki zako wa karibu hao wanaweza kukusaidia(sikologia ya binadamu is so complicated kwa sababu binadamu hugeukageuka kulingana na mazingira hasa akijua anachungunzwa)
 
Mkuu;
Taja sifa zako kwanza na unafanya kazi gani, una elimu gani, sio huna kazi au huna kisomo ndo unatangaza watu wakutafutie mchumba.
Alafu kudadadeki, utatafutiwaje mwanamke?.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…