Natafuta Rafiki, Mchumba


Unaweza kukaa nyuma na kuongoza kundi lililo mbele yako au kukaa mbele na kuongoza kundi hilo, hakuna litakaloharibika ni maamuzi tu kwamba ni leadership style gani ambayo wewe kama kiongozi unaona iko more effective...🙂
 
He is just 23 yrs looking for up to 40 mate , huyo aweza kuwa mama yako kijana look 4 ur age not mamazako.
 
Unaweza kukaa nyuma na kuongoza kundi lililo mbele yako au kukaa mbele na kuongoza kundi hilo, hakuna litakaloharibika ni maamuzi tu kwamba ni leadership style gani ambayo wewe kama kiongozi unaona iko more effective...🙂

sawa kama ni hivyo miaka mingi au kidogo ni sawa ttu mkuu intagemea na staili uipendayo
 
...addiction nyingine hiyo ya JF!, watu wanakosa hata muda wa kwenda 'kujichanganya', wanataka penzi la 'online'!

kaaazi kwel kweli

hehehe mchongoma hii kweli ni kiboko!!!hehehe eti wanakosa hadi muda wa kujichanganya wanataka penzi la jf online humu humu!!
 
Mimi ni bata natafuta kuku awe sexual partner wangu.....
 
dereva wa mashua/ngalawa anaendesha/ongoza kutokea nyuma kwi, kwi, kwi
 
ukuwadi kama huu .... mwenzangu nani awe partner nawe motoni ?? nenda mwenyewe maana huu ni zinaa na hatutaki kuwa washiriki kama unataka kuoa sema ... tutakuunga mkono yakheeeeeeeeeeee
 
Kazi kwelikweli, utakamilisha lini?
 
Nikuulize bwana wewe, ina maana hujapata marafiki kabisa hapo ulipo? anyway wasiliana na mimi nitakuwa rafiki yako vigezo vyote ulivyotaka ndo mimi haswa
 
mke mwema hutoka kwa Mungu, mume mwema kadhalika. mimi pia natafuta mchumba ila sijui kama nna vigezo vya mke umtakaye. labda niorodheshe hivi vichache nlivyo navyo. umri wangu ni 23yrs, nipo chuo kikuu nachukua BA.Political Science&Public Adminstration. All the best kaka yangu.
 
.....Rosine, tatizo la kwanza " confidence yako ni 0%" au unasemaje?? Ukishaanza labda nina au sina umepigwa bao kabla ya mchezo....Vigezo vyake aliorodhesha sasa mambo ya "Labda" yanatok wapi??? Jiangalie unafit au la then weka mambo!!!
 
Mkuu baba H kunawarembo nilikuwa naongea nao hapa pembeni wanahoja juu ya huyo H, ebu weka wazi Mkuu. Huyo H ulimpata bila kuoa? wanaogopa boxing na mama H.
 
Mkuu baba H kunawarembo nilikuwa naongea nao hapa pembeni wanahoja juu ya huyo H, ebu weka wazi Mkuu. Huto H ulimpata bila kuoa? wanaogopa boxing na mama H.
...Teh!! teh!! tehhhhh!!!! patamu hapo...Wanaumeee!!!??
 
This might work lakini i see very little probability in finding your match this way!!!

Kwanza mara nyingi vigezo kama hivi tunavyoweka hapa vinatusaidia tu kupata watu flani lakini suala la tabia ndio kubwa zaidi katika mahusiano haswa ya kindoa. Nafikiri ni vizuri zaidi kwanza mtu kujaribu ku-explore options alizonazo kama wale alionao au aliyowahi kuwa nao wana vigezo anavyohitaji then from there anaweza kubadilisha cos huyu mchumba ndo atakuwa mke/mume na kwa imani za Kikristu unaoa once for your entire life (kuachana sio option) though katika Uislamu siko sure sana ila at least wanaruhusu talaka na ndoa za wake wengi.

Baba H nakushauri umtangulize Mungu katika utafutaji wako na pia usifanye pupa maana kuna wasanii kibao katika fani ya kuolewa!!! Vigezo vingine ni vizuri vikiwa siri yako just in case kuna usanii utagundua mapema kabla hujaingia mkenge....


All the best...
 
Mkuu baba H kunawarembo nilikuwa naongea nao hapa pembeni wanahoja juu ya huyo H, ebu weka wazi Mkuu. Huyo H ulimpata bila kuoa? wanaogopa boxing na mama H.

kwi kwi kwi kwi karaga baho wachepenge wapo wengi tu hakuna haja ya kuweka matangazo mm na wasiwasi na baba H uwezo wake wa kujiexpress labda domo zege anataka wa dezo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…