Shishi
JF-Expert Member
- Feb 11, 2008
- 1,242
- 42
...wooow!
'AM AVAILABLE'! 😀 lakini hapa hapa online tu, i guess 'when caught cheating' online si sawa na 'live'...au?
...LOL!!!
PM me for more......................
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
...wooow!
'AM AVAILABLE'! 😀 lakini hapa hapa online tu, i guess 'when caught cheating' online si sawa na 'live'...au?
...LOL!!!
tunakoelekea sijui nikwite usoni au mbele.
maana jamaa alikuwa anauliza kuongoza ni kukaa mbele au njuma ?
yeye anasema anaona mzee makame anaongoza kundi na huku akiwa yuko nyuma na wakati mmoja akaona askari akiwa mbele na kundi liko nyuma likimfata akaambiwa pia anaongoza
sasa waungwana hii ni kali tunaomgoza kivipi?
Unaweza kukaa nyuma na kuongoza kundi lililo mbele yako au kukaa mbele na kuongoza kundi hilo, hakuna litakaloharibika ni maamuzi tu kwamba ni leadership style gani ambayo wewe kama kiongozi unaona iko more effective...🙂
...addiction nyingine hiyo ya JF!, watu wanakosa hata muda wa kwenda 'kujichanganya', wanataka penzi la 'online'!
kaaazi kwel kweli
PM me for more......................
1 800 DESPARATE
1 800 IM HORNY
Hivi ni sexual partner au sex partner?
.....Rosine, tatizo la kwanza " confidence yako ni 0%" au unasemaje?? Ukishaanza labda nina au sina umepigwa bao kabla ya mchezo....Vigezo vyake aliorodhesha sasa mambo ya "Labda" yanatok wapi??? Jiangalie unafit au la then weka mambo!!!mke mwema hutoka kwa Mungu, mume mwema kadhalika. mimi pia natafuta mchumba ila sijui kama nna vigezo vya mke umtakaye. labda niorodheshe hivi vichache nlivyo navyo. umri wangu ni 23yrs, nipo chuo kikuu nachukua BA.Political Science&Public Adminstration. All the best kaka yangu.
...Teh!! teh!! tehhhhh!!!! patamu hapo...Wanaumeee!!!??Mkuu baba H kunawarembo nilikuwa naongea nao hapa pembeni wanahoja juu ya huyo H, ebu weka wazi Mkuu. Huto H ulimpata bila kuoa? wanaogopa boxing na mama H.
Mkuu baba H kunawarembo nilikuwa naongea nao hapa pembeni wanahoja juu ya huyo H, ebu weka wazi Mkuu. Huyo H ulimpata bila kuoa? wanaogopa boxing na mama H.