Natafuta Rafiki, Mchumba

Natafuta Rafiki, Mchumba

Me pia natafuta mwanamke wa kuoa npo Dar na nna kazi ya mana.
Vigezo;
*Awe na elimu ya 4m 6
*Awe na miaka 18-26
*Awe maji ya kunde
*Awe mcheshi na mwenye mapenzi ya dhati.
Aliye na vigezo tuwasiliane 0768042030
 
Hata mie nilishangaa jina hilo, nikadhani ni la u bin wa huyo binti, lakini ndio dunia hiyo.
huyo ni mwanaume anatafuta rafiki wa kiume mwenzake sema wabongo mmezoea anaetafuta rafiki wa kiume bas yeye ni mke
 
Back
Top Bottom