Rugas
JF-Expert Member
- Jan 8, 2009
- 1,048
- 197
Mbona sijapata mbongo? Wewe vp unamchumba tayari? Kama vp tunaweza kuongea nyuma ya pazia.
Kumbe wanaotafuta mko wengi,alafu mnamcheka mshikaji?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona sijapata mbongo? Wewe vp unamchumba tayari? Kama vp tunaweza kuongea nyuma ya pazia.
Komredi unafuata nyayo za yo yo? hana gemu huyo
Kumbe wanaotafuta mko wengi,alafu mnamcheka mshikaji?
nitazibandika pic nikiwa na MG kule kwenye jukwaa la celebrity.....nikila nae raha....dogo nacheza kama zidane.....Komredi unafuata nyayo za yo yo? hana gemu huyo
nitazibandika pic nikiwa na MG kule kwenye jukwaa la celebrity.....nikila nae raha....dogo nacheza kama zidane.....
bwa ha ha ha ha wewe kichaa kweli.......wazee wa IT si wapo humu watasema kama ni photoshop.......nipe namba yako nitakupigia video phone umuoene live......mie ndio Zidane wa sukuma shoriHehehehehe...umejifunza lini kutumia photoshop?
Hatari hiyo,tanzania au ulaya.....Sidhani km tanzania wapo wanaume wanaoolewa...
ina maana wapo?........ Ni lini ulirudi bongo kwa mara ya mwisho?
Ashapatikana mkuu!
Ana sifa zile zile nilizokuwa nataka hapo juu!
Hellow everybody here in Jamii forums
Hellow everybody here in Jamii forums
humu humu online? analipa?
Hellow everybody here in Jamii forums