hiv positive living
Senior Member
- Jan 6, 2020
- 153
- 218
Kwa umbo lako hilo ukiamua kuwaunguza vijana utawaunguza kwelikweli maana unavutia.
Mimi ningekuoa ila nina mke. HIV sina ila sio big issue, issue ni kupenda.
Nimefuta post mkuu naomba ufute hio quote pls nilikoseaMkuu being HIV is just a situation
Usifanye kama ni something big
Usi comment kama unajua una u popoma
mdogo zaidi yangu ,,,. hh hapana aiseeee asanteMungu akupe hitaji la moyo wako ninaamini watakuja PM, VVU siyo mwisho wa maisha kwani kwa sasa kuna lishe dawa ambazo vifubaza virus. Kigenzo cha umri dada na urefu pia usikizingatie akiwa na 30 anafaa pia.
thank youGoodluck mamie....
dah !! sitaki hata kuhoji sana lisijenikuta jamboKwa umbo lako hilo ukiamua kuwaunguza vijana utawaunguza kwelikweli maana unavutia.
Mimi ningekuoa ila nina mke. HIV sina ila sio big issue, issue ni kupenda.
You are welcomedah !! sitaki hata kuhoji sana lisijenikuta jambo
Tafadhali hilo neno mwenye VVU tu lisikufunge na kuwa na VVU sio kifungo. Kuna maisha zaidi ya hayo na usiaminishwe na wazungu ukawa mtumwa wa VVU. Siwezi kutoa ushuhuda hapa hadharani.Hellow wapendwa ,
Poleni na majukumu ,
Nahitaji mwanaume aliyeserious ambaye mahusiano yetu yatapelekea ndoa , awe mkristo wa dhehebu lolote , umri 36-50 (naomba umri uzingatiwe ),awe mrefu mana mie mrefu na mnene kiasi
Mimi nina 33yrs, mkristo, sina mtoto, elimu form four ninaishi dar
Ps. Mwenye VVU tu
Karibu PM
ama
Email gracefelix.fl@gmail.com
natamani kuwa rafiki tu..ingawa mm ni HIV-......just friend...Hellow wapendwa ,