Natafuta rafiki/mpenzi/mume ambaye ni Hiv +

Natafuta rafiki/mpenzi/mume ambaye ni Hiv +

hiv positive living

Senior Member
Joined
Jan 6, 2020
Posts
153
Reaction score
218
Hellow wapendwa ,
Poleni na majukumu ,

Nahitaji mwanaume aliyeserious ambaye mahusiano yetu yatapelekea ndoa , awe mkristo wa dhehebu lolote , umri 36-50 (naomba umri uzingatiwe ),awe mrefu mana mie mrefu na mnene kiasi

Mimi nina 33yrs, mkristo, sina mtoto, elimu form four ninaishi dar

Ps. Mwenye VVU tu

Karibu PM
ama

Email gracefelix.fl@gmail.com
 
Mungu akupe hitaji la moyo wako ninaamini watakuja PM, VVU siyo mwisho wa maisha kwani kwa sasa kuna lishe dawa ambazo vifubaza virus. Kigenzo cha umri dada na urefu pia usikizingatie akiwa na 30 anafaa pia.
 
Kwa umbo lako hilo ukiamua kuwaunguza vijana utawaunguza kwelikweli maana unavutia.
Mimi ningekuoa ila nina mke. HIV sina ila sio big issue, issue ni kupenda.

On the way to heaven boss[emoji23][emoji23]
 
Hellow wapendwa ,
Poleni na majukumu ,

Nahitaji mwanaume aliyeserious ambaye mahusiano yetu yatapelekea ndoa , awe mkristo wa dhehebu lolote , umri 36-50 (naomba umri uzingatiwe ),awe mrefu mana mie mrefu na mnene kiasi

Mimi nina 33yrs, mkristo, sina mtoto, elimu form four ninaishi dar

Ps. Mwenye VVU tu

Karibu PM
ama

Email gracefelix.fl@gmail.com
Tafadhali hilo neno mwenye VVU tu lisikufunge na kuwa na VVU sio kifungo. Kuna maisha zaidi ya hayo na usiaminishwe na wazungu ukawa mtumwa wa VVU. Siwezi kutoa ushuhuda hapa hadharani.
 
Hellow wapendwa ,
Poleni na majukumu ,

Nahitaji mwanaume aliyeserious ambaye mahusiano yetu yatapelekea ndoa , awe mkristo wa dhehebu lolote , umri 36-50 (naomba umri uzingatiwe ),awe mrefu mana mie mrefu na mnene kiasi

Mimi nina 33yrs, mkristo, sina mtoto, elimu form four ninaishi dar

Ps. Mwenye VVU tu

Karibu PM
ama

Email gracefelix.fl@gmail.com
natamani kuwa rafiki tu..ingawa mm ni HIV-......just friend...
 
Pole dear. Muombe Mungu ajibu hitaji la moyo wako. Pia kule mnakochukulia dawa ni sehemu nzuri zaidi ya kupata unayempenda. Ongea na wahudumu wakuunganishe with your favourites. Kama kweli unataka mume na siyo premarital sex, God will answer your prayers. All the best.
 
Back
Top Bottom