Natafuta rafiki mwanaume

Ok!
 
Please check me, kama upo serios
 
Ndugu mnaomdhihaki huyu mama mnakosea sana, haya maisha hayako hivyo. Shauri yenu, hjafa hujaumbika. Sidhani kama yeye alitaka hayo mnayomsema nayo, ni mapenzi ya mungu tu. Jirekebisheni.
Beatha kila lakheri umpate mwenza.
 
Itakuwa ndio nyie wakati wabichi mlikuwa mnajishebedua sasa ndio mnazisoma namba upo tayari kuishi nami japo sikatahiriwa
 
Sio rahisi kihivoo kumwamini mwanamke sijui lakin
 
Mm nina miaka 56,nimefiwa na mke wangu tuliyebahatika kupata watoto 6, so nipo alone kwa sasa, je ninakidhi vigezo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…