Idd Ninga
JF-Expert Member
- Nov 18, 2012
- 5,497
- 4,775
Wanaume tunatafuta.Mimi ni mwanamke mwenye miaka 40 sijawahi kuolewa wala kuzaa.
Natafuta mwanaume ambae tayari ana watoto ila sio mume wa mtu tutasaidiana kulea awe na miaka kuanzia 40.
Najitegemea nina kwangu na nasaidia ndugu zangu wasiojiweza kulea watoto wao.
Wenye maswali na comments za kejeli mnakaribishwa pia.
Asanteni.
kwani Kipindi ukiwa na miaka ishirini hadi ishirini na tano ulikuwa unafanya nini ?