Natafuta rafiki si kwa lengo la mapenzi

We nijibu tuu babe ake shunie!!
Naachaje kumjua mtu anemkula mdogo wangu?!
Sakayo ni dada angu yan kuna nn kwanza unataka kuchepuka sakayo kwa nini asijue kama we shemeji yake lakini
[emoji23][emoji23][emoji23] kumbee huu uhusiano wangu na Shunie unaujua? Aisee dunia ina mambo

Sasa nashindwa kukujibu sababu sijaelewa maana ya kukomaa pande zote
 
Karibu sana ni pm tafadhal
 
Nijibu hebu, babe ake mdogo wangu!!!

Shunie ukuje!!
Hahaha
We hujakomaa
Kwakweli ikifika mambo ya foleni, moyo unakuwa mdogo urafiki una expire hapohapo. Shemeji mwingine tena?
Hahaha
Ongea taratibu, we si hupendi folenii!! Kuna shem wangu namuona kwa mbaaali
[emoji23][emoji23]..Nataka ila kauli tata kukomaa vp huko?
Ulikua unataka nini eti
Ooh!! Sawa mkuu nilikua sijaelewa kidogo
Hahaha
Hutaki au
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] baba yeyoo jumba bovu linamwangukia sakayo na wakati uliniacha mbele yake
Naona hapo ni mwachie mhusika atakuja kujibu mwenyewe. Lakini wewe rafiki ilinipeperushia njiwa wangu Shunie
Rafiki aliekomaa kila upande?.. duuh!!
 
We unatafuta rafiki hafu unaanza mikwara, navyokuhisi unataka mchepuko jamaa awe anakuja kwako unapata dozi hunalingine
 
Mimi nina miaka 24 nipe nafasi ya kuwa rafiki yako mamiii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…