Natafuta rafiki si kwa lengo la mapenzi

Mtaani kwenu wenye vigezo hivyo hawapo au ndo njia mpya ya kuwakamata madomo zege Dada.
 
Mimi Niko 50+Nina mke na watoto saba Professional Yangu ni Social Scientists ni msabato na nimesoma seminary Sema taja sifa nyingine
 
Kama unatafuta rafiki upost kwenye forum hiyo hii forum ya mapenzi, alaf kwanini unachagua rafiki alaf na nyie wanaume mpo poa tu acheni ujinga we dada jiogope,
 
Urafiki urafiki at the end of the day kitambi .
 
Urafk wa mashaka
 
Ulipataga au
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…