Natafuta rafiki si kwa lengo la mapenzi

Hivi urafiki unaombwa? Nnachofaham unatokea kutokana na kuendana hulka, mitazamo, vitabu mnavyosoma, nyimbo mnazosikiliza, tabia, mazungumzo n.k.

Naweza nikakuomba urafiki na ukanikubalia lakini tukajikuta tunapokua pamoja hatufurahii maongezi wala hakuna kitu tunafanya kikatufurahisha wote, inakuwa kama kulazimisha muda uende ili kila mtu aendelee na mambo yake.
 

Urafiki unaombwa.... hata enzi hizo kulikuwa na urafiki wa kalamu. Ndio maana nimeandika vigezo. Ikitokea tumeelewana urafiki unaendelea; tofauti na hivyo unakufa kimya kimya
 
Naanza kuona dalili ya kupigwa chini mapema...

Na hivi huko PM wameshajazana vijana wenzio, babu nshaula wa chuya...

Tulia tu, chujio la huku si la kitoto, watoto watakaa pembeni soon, vikongwe watashika hatamu
 
Word
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…