Natafuta rafiki si kwa lengo la mapenzi

Utapata unachokitafuta.shida yenu huwa mnataka stress zenu muhamishie kwa marafiki.mtu ambaye hujaolewa kwa umri huo ni lazima kuna shida sehemu.ni pasua kichwa
 
Yeah sure Rafiki wa kweli ni akufaye katika hali na mali ,,, ila nakumbuka kuna siku ulihoji ,uwepo wa urafiki km huo ???? .

Sio kweli ukienda shule ndo unakua mwenye ushauri mzuri bali Rafiki mwenye Busara na Hekima ndo mwamuzi ,mshauri sahihi kwa rafiki.

Bila shaka amna rafiki wa 40 ambaye utamkuta hajaoa ,huyu ni baba wa familia nakm aliwahi kuzaa ujanan binti wakike tayar anamjukuu!!.. ( hapa nimegundua unahitaji pia akupe muda wake pia , naona kabisa unahitaji muda mwingi muongee ,kitu ambacho hakitokaa kitokee nazaidi tegemea tu kupewa ratiba ya maongezi. Nausiku noo maongezi,,,, ninaamin fika unatambua wanawake niwatu wa wivu sana ,, just imagine mumeo ndo anakua narafiki waivo utakua unajisikiaje ??? Hivyo ktk hili ,niwewe pekee wakuhakikisha unajiongoza ili urafiki wako nayeye usije kua chanzo cha magonvi ndani ya familia yake ,UNLESS kakukutanisha na mkewe mmejuana , lkn sio tu simu " mkewe akijua hatoweza kuelewa.


Swali langu ni je,, How did you do that?
 
Nimekuelewa. Ila mimi ninamaanisha tutabaki marafiki tu. Ndio maana sijali hata kama ameoa au ana mpenzi kwa sababu sifikiriii kuwa na mpenzi, nina mbinu zote za kunifanya nisiangukie mapenzini hivyo haitatokea. Nahitaji rafiki tu.

Ni kwa vile tu suala la umri na kukosa madarasa kunaninyima vigezo kuwa rafiki yako, ningetamani ukanishirikisha hizo mbinu, imekuwa ni changamoto sana kwa watu wengi kuanguka kwenye hilo eneo.

Niruhusu uwe rafiki yangu lakini mimi nisiwe rafiki yako.
 
Yeah na si vinginevyo. Mwelimishe mchepuko wako aelewe. Najua mwizi huwa anaumia sana akiibiwa!😛 Atulize ball siwezi muibia
Anaelewa sana, anakupima upepo tu. anajua hata mimi siwezi kumcheat... Maana limbwata analoniwekea si la mkoa huu.
 
Sasa inahusiana nini na kuoa au kuolewa we sema we sura ngumu umeshindikana.urafiki wa kike na kiume tangu lini ikadunu bila kugegedana? Any way,utampata.humu ndani wapo wenye shida kama zako
 

Ombi lako limepokelewa. Nalifanyia kazi.
 
Sasa inahusiana nini na kuoa au kuolewa we sema we sura ngumu umeshindikana.urafiki wa kike na kiume tangu lini ikadunu bila kugegedana? Any way,utampata.humu ndani wapo wenye shida kama zako

Tatizo tumekremu kuwa rafiki ni lazima mgegedo upite. Kwa taarifa yako ukishamgegeda mtu sio rafiki tena ni mpenzi na hata ile discipline ya urafiki huondoka
 
Mimi wasiwasi wangu ni hapo ulipoweka maswala ya wewe kutokuolewa ila sawa tu nmekuelewa dada angu.

Facebook unatumia jina gani nikaku-Add as a friend [emoji4]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…