kasulamkombe
JF-Expert Member
- Oct 3, 2017
- 2,232
- 2,491
Utapata unachokitafuta.shida yenu huwa mnataka stress zenu muhamishie kwa marafiki.mtu ambaye hujaolewa kwa umri huo ni lazima kuna shida sehemu.ni pasua kichwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Urafiki wa kawaida tu. wa kushauriana mambo mbalimbali ya duniani na vitongoji vyake
[emoji23][emoji23]..Nataka ila kauli tata kukomaa vp huko?Hahaha
Hutaki au
Urafiki wa kawaida tu. wa kushauriana mambo mbalimbali ya duniani na vitongoji vyake
Ewaaaa... hiyo ni kauli mbiu kuu kwenye huu urafiki mpya.Lakini Swahiba kumbuka hii maneno "Shimo La Panya Halizibwi Kwa Mkate"
Wewe huridhiki na urafiki wako na mimi?!Urafiki wa kawaida tu. wa kushauriana mambo mbalimbali ya duniani na vitongoji vyake
Nimekuelewa. Ila mimi ninamaanisha tutabaki marafiki tu. Ndio maana sijali hata kama ameoa au ana mpenzi kwa sababu sifikiriii kuwa na mpenzi, nina mbinu zote za kunifanya nisiangukie mapenzini hivyo haitatokea. Nahitaji rafiki tu.
Wewe ni rafiki yangu sana tuu!! Sasa sijui kwa nini mleta mada anawaita pm
Anaelewa sana, anakupima upepo tu. anajua hata mimi siwezi kumcheat... Maana limbwata analoniwekea si la mkoa huu.Yeah na si vinginevyo. Mwelimishe mchepuko wako aelewe. Najua mwizi huwa anaumia sana akiibiwa!😛 Atulize ball siwezi muibia
Uzuri unanijua akiEnheeee.... haya twende sawa sasa
Ni kwa vile tu suala la umri na kukosa madarasa kunaninyima vigezo kuwa rafiki yako, ningetamani ukanishirikisha hizo mbinu, imekuwa ni changamoto sana kwa watu wengi kuanguka kwenye hilo eneo.
Niruhusu uwe rafiki yangu lakini mimi nisiwe rafiki yako.
Hahaha
Ongea taratibu, we si hupendi folenii!! Kuna shem wangu namuona kwa mbaaali
Hahaha[emoji23][emoji23]..Nataka ila kauli tata kukomaa vp huko?
HahahaLakini Swahiba kumbuka hii maneno "Shimo La Panya Halizibwi Kwa Mkate"
Sasa inahusiana nini na kuoa au kuolewa we sema we sura ngumu umeshindikana.urafiki wa kike na kiume tangu lini ikadunu bila kugegedana? Any way,utampata.humu ndani wapo wenye shida kama zako
AiseeEwaaaa... hiyo ni kauli mbiu kuu kwenye huu urafiki mpya.