Natafuta rafiki si kwa lengo la mapenzi

Wewe huridhiki na urafiki wako na mimi?!

Inaonekana urafiki wenu ulishatiwa dosari... au mlishakula tunda mkajikuta mko uchi, mumeharibu maana nzima ya urafiki.
tafakari Adam na Hawa kabla na baada ya kula tunda.
 
Nimekuelewa. Ila mimi ninamaanisha tutabaki marafiki tu. Ndio maana sijali hata kama ameoa au ana mpenzi kwa sababu sifikiriii kuwa na mpenzi, nina mbinu zote za kunifanya nisiangukie mapenzini hivyo haitatokea. Nahitaji rafiki tu.
Aisee
Yangu macho nakuombea umpate huyo rafiki na ufaulu huo mtihani ambao wengi hawaufaulu
 
Nimegundua wanaume wote walioko pm kwangu wana wake zao humu, na wake zao wametoa machoo.... uwiiiii kazi ipo.
Namuomba yeyote anayenifata pm ahakikishe mkewe ni mwelewa.... nasisitiza sitaki kurogwa humu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…