The Monk
Platinum Member
- Oct 12, 2012
- 20,242
- 45,930
Hahaha
Na yeye ndo anapeleka mkate kwa shimo ya panya
Mie nimeshabeba jembe naelekea shamba kulima
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha
Na yeye ndo anapeleka mkate kwa shimo ya panya
Wewe huridhiki na urafiki wako na mimi?!
Anaelewa sana, anakupima upepo tu. anajua hata mimi siwezi kumcheat... Maana limbwata analoniwekea si la mkoa huu.
Wewe una miaka 40 wewe!?Mbona huji pm sasa
Huo ni mtazamo wako,sio wa kwangu.Tatizo tumekremu kuwa rafiki ni lazima mgegedo upite. Kwa taarifa yako ukishamgegeda mtu sio rafiki tena ni mpenzi na hata ile discipline ya urafiki huondoka
Wewe una miaka 40 wewe!?
Hebu acha Fujo huko piemu
Hamna u rafiki kati ya mwanaume na mwanamke usinitafute ubaya.Njoo pm
Huo ni mtazamo wako,sio wa kwangu.
Wenye jicho la tatu tumeshakuelewa mama.....
Hamna u rafiki kati ya mwanaume na mwanamke usinitafute ubaya.
Mtoa mada Mimi ni mke wa huyu na Nina wivu na siyo mwelewa pia
Si naona wasema pm foleni ama?! Na babu asubiria pm yako!Sio lazima pm. Babu angekuja pm kwa siri wala usingejua. Huu ni urafiki wazi na huru.... mambo hadharani
Sawa tuuAnaelewa sana, anakupima upepo tu. anajua hata mimi siwezi kumcheat... Maana limbwata analoniwekea si la mkoa huu.
AiseeNimekuelewa. Ila mimi ninamaanisha tutabaki marafiki tu. Ndio maana sijali hata kama ameoa au ana mpenzi kwa sababu sifikiriii kuwa na mpenzi, nina mbinu zote za kunifanya nisiangukie mapenzini hivyo haitatokea. Nahitaji rafiki tu.
Basi atakuja hawezi kukosa hii fursaHahaha
Ndio..
HahahaKwakweli ikifika mambo ya foleni, moyo unakuwa mdogo urafiki una expire hapohapo. Shemeji mwingine tena?
AiseeeHahaha
We hujakomaa