ndohotabu doho
Member
- Mar 12, 2018
- 75
- 86
Mimi ni dada natafuta rafiki ambaye ni kaka. Nasisitiza rafiki wa kiume aliyekomaa kila upande. Itapendeza akiwa umri kuanzia miaka 40. Sihitaji mpenzi, na wala huyu hatakuwa mpenzi wangu ila atakuwa rafiki wa hali na mali.
Akiwa ameenda shule itakuwa vema maana ataweza kunishauri. Mie pia nina madarasa ya kunitosha. Sijaolewa na sifikirii kuolewa maana nina maisha yangu tayari.
Kama ameoa ahakikishe mkewe ni mwelewa, mambo ya kuanza kutumiwa message za vitisho sitaki.
Asiwe na tabia ya kuomba omba maana mie sina tabia hiyo.
Kama sijaeleweka swali ruksa na sio matusi na kejeli.