Natafuta rafiki wa faida

Natafuta rafiki wa faida

huyu atakuwa wa zamani Mkuu sema kaja na ID mpya tu.
New member hawezi kuwa na confidence ya vile.
Oooh kuna kizazi cha facebook mkuu kuandika hivi ni kawaida kabisa.
 
heri ya wewe uliyeamua kuwa mkweli
 
Habari taifa la Mungu.

Mimi ni jinsia ya Ke, miaka 29, muajiriwa katika Asasi ya kiraia, natafuta rafiki wa faida (friend with benefit)
Awe angalau mrefu, kabila lolote,
Umri miaka 33 na kuendelea,
Awe amejiajiri au ameajiriwa.

Kama upo interested njoo PM tuyajenge huko.
Duuh iyo miaka watu wengine mnatutenga sana kwaiyo mnamaanisha watu ambao tuko under 33 tuna Low thinking Capacity au tatizo nini..
 
You can't be serious.
You have only two weeks since you joined , then leo unataka friend wa faida.
hiyo confidence umeitoa wapi. .??
by the way me ni shortii and niko at early 20's. hatuwezi Match
The ID name/user name is two weeks old but the user(person) has been here for the past 4 years.
I think coming up with a new user name is a quick and effective way to avoid background check for those who are interested.
 
Khaaa nashangaa wale wanaotokwa mapovu katika huu uzi ndo wa kwanza kuja PM. Hapa mnajifanya mna mapovu huko mnataka urafiki wa faida. Empty set kabisa [emoji57] [emoji57] [emoji40][emoji40][emoji40][emoji40]. Hata hivyo rafiki wa faida ashapatikana muendelee tu na mapovu yenu nishafulia boxer za furendi.
 
Ndio anakuwaje huyo rfiki wa faida?
 
Back
Top Bottom