Natafuta rafiki wa kawaida

Natafuta rafiki wa kawaida

Umri ndo tatizo kwangu ila sifa zote ninazo
 
Huo ni ujanja ujanja wa kutafuta mchumba/mume![emoji1].........ila usihofu utapata!
 
Natafuta rafiki wa kawaida wa kiume awe na umri wa miaka kuanzia 40-70,awe mstaarabu,mkweli,muwazi na mpenda maendeleo. Kama uko tyr ni pm plz[emoji21]

Punguza umri kidogo basi watu tujinyakulie rafiki
 
Natafuta rafiki wa kawaida wa kiume awe na umri wa miaka kuanzia 40-70,awe mstaarabu,mkweli,muwazi na mpenda maendeleo. Kama uko tyr ni pm plz[emoji21]

Mm nina sifa zote
Dume la Mbegu haswa
Ni PM namba yako pls tuanze yetu
 
Hivi mwanamke anaweza sema ana rafiki wa kiume eeh kama rafiki tu. Ok
 
Mimi mpnz wangu hatanielewa.....maana uliniona tu utanipenda.taratibu utanimendea
 
Me punguza umri -10 ukitoa naweza kuwa na sifa ya kuwa rafik yako tena rafik mpenz kabisah
 
Natafuta rafiki wa kawaida wa kiume awe na umri wa miaka kuanzia 40-70,awe mstaarabu,mkweli,muwazi na mpenda maendeleo. Kama uko tyr ni pm plz[emoji21]
Urafiki huo wa KAWAIDA mipaka yake ni ipi ? ..... maana wengine hufikia hatua wanaanza kuvuana nanihiiiiiiiiiiii
 
Natafuta rafiki wa kawaida wa kiume awe na umri wa miaka kuanzia 40-70, awe mstaarabu, mkweli, muwazi na mpenda maendeleo.

Kama uko tayari ni pm please [emoji21]
Ni pm wewe, nataka kujua km unaweza kunivunjia barafu
 
Back
Top Bottom