Natafuta rafiki wa kike above 30yrs

Natafuta rafiki wa kike above 30yrs

Mparee2

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2012
Posts
3,092
Reaction score
5,386
Mimi naishi moshi na Mara nyingi hujisikia lonely hasa weekend kwani na kuwa na muda wa zaidi.
kama yupo msichana ambaye anahitaji company hasa weekend na yupo moshi au Arusha....napenda aliyepo busy na angependa kutumia muda wake kidogo wa jioni au wikend ku relax.....pm please
 
Back
Top Bottom