Natafuta rafiki wa kike ambae naweza muoa hapo baadae

Ahmed Saidi

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2019
Posts
1,588
Reaction score
3,487
Assalamu alaykum Wana jamiiforums

Bila kupoteza muda, baada ya kupitia mengi katika maisha ya uhusiano sasa naona ni muda muafaka kwangu kurudi katika maisha ya kutafuta mke.

Sifa.

1. Asiwe katika mahusiano

2. Dini: Awe muislamu, mchamungu, mwenye kuvaa hijab ya kisheria na mfanya ibada.

3. Umri: kuanzia miaka 22-26

4. Rangi: yoyote lakini ikiwa chocolate itapendeza zaidi.

5. Shape: mwembamba i.e English figure (nikikuoa Alaf ukaanza kunenepa, aisee utafanya mazoezi mpaka basi😄, jokes)

6. Urefu: asiwe mrefu sana au mfupi sana

7. Location: awe anaishi mkoa wowote Tanzania, lakini akiwa mkazi wa mbeya mjini itapendeza sana.

8. Elimu: kuanzia form four na kuendelea, lakini akiwa na taaluma flani itapendeza zaidi.

sifa zangu

Mimi ni muislamu,
Nina miaka 28,
Mrefu kiasi,
Nina hofu ya Mungu,
Naishi Mbeya,
Ni muajiriwa serikalini.

Asanteni,

cc. To yeye
 
Allah akupatie hitaji la Moyo wako 🙏🙏🙏
 
Ulikosoma kote uko umekosa rafiki

Achna na kutafuta mke mtandaoni utaja pata magonjwa ukaaz jutia technologia
 
Mbona wewe haujataja rangi yako wakati unataka mwenye rangi, halafu sifa muhimu ya mwanamke umesahau kuiandika kama vipi edit uzi uiweke namba 1

1.ASIWE MUOMBA HELA maana umeinclude hadi form four failures
 
 
Mbona wewe haujataja rangi yako wakati unataka mwenye rangi, halafu sifa muhimu ya mwanamke umesahau kuiandika kama vipi edit uzi uiweke namba 1

1.ASIWE MUOMBA HELA maana umeinclude hadi form four failures
Kwani hao walifika universities hawaombi ela
 
To yeye huoni kama umetagiwa huku?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…