Natafuta rafiki wa kike ambaye inshallah atakuwa ma otha half...

Natafuta rafiki wa kike ambaye inshallah atakuwa ma otha half...

adakiss23

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2011
Posts
4,732
Reaction score
4,901
Mimi ni kijana miaka 27 mwajiriwa ktk idara 1 serikalini, vilevile nko mwaka wa mwisho ktk moja ya chuo kikuu hapa mjini. Natafuta rafiki wa kike ambaye atakuja kuwa mwenza wa maisha hapo baadae.. Awe mpole, mstaarabu, elimu diploma au degree, dini sibagui, asiwe na mtoto wala aliyewahi kuolewa, awe 24_28. Mwenye sifa hizi PM panahusika zaidi. .

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Ni ombi zuri ila uwe makini kwa kuwa wchumba wa online nao wanamajaribu yao na inahitaji moyo na tena MAOMBI ya hali ya juu sana. Any way kila la kheri kijana
 
ngoja nikuulize kaka ni kweli umekosa kupata mchumba wa kuoa mpaka katika jamii forum?
binafsi sikusshauri upate mke wa dizain hiyo.au unaonaje ukawa unatumia kama ndugu zako na watu mbalimbali wa karibu yako uweze kupata mke mzuuuuuuuuuuuri na bombaaaaaaaaa?
take care brother
 
Nina vigezo vyote hao juu, ila nimetoa mimba 4
 
Back
Top Bottom