natafuta rafiki wa kike kwa kuwasiliana nae

lara 1 unaitwa huku shosti..........
 
Last edited by a moderator:
basi umeisha nikosa maana kigezo cha dini tayari kimeisha kua kikwazo
 
sio entercouse ni intercourse
 
\

Unajua unapotaka msichana kwa nia hii ni kama unafanya marketing.
Jitahidi kunyoosha kimatumbi chako.
 
Habari wana jf mimi mr natafuta mschana wa kuwasiliana na pia kujuna kwa dhati Baada yahapo tupange mambo ya maisha.my intend is a colleen ili sote tuamini ane katika maisha ya mbele
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…