Natafuta rafiki wa kike wa kushauriana naye na kubadilishana mawazo

Natafuta rafiki wa kike wa kushauriana naye na kubadilishana mawazo

Evvy Evvy

New Member
Joined
Aug 15, 2024
Posts
1
Reaction score
6
Mambo vp marafiki!

Hope mko salama.

Leo niko hapa kutafuta rafiki mmoja tu wa kike. Mtu ambaye atakuwa tayari kuongea na mimi, kushauriana, kupiga story.

Sijawa tayari kuingia kwenye mahusiano kwa sasa kutokana na matukio fulani ya kimahusiano niliyopitia hivi karibuni, so nahitaji zaidi mtu wa kuongea nae tu.

I still need time to heal, maana kwa sasa sina kabisa hisia za mapenzi na sipendi kuwa ivo ila hama namna.

Sometimes in life you need just that one special person to tell you everything will be fine! Sio lazima awe mpenzi, Loneliness sometimes leads to mental illness 😣!

Awe (ke)
Na awe na hekima
Aje Dm au atume email
wolfmanwolfman1993@gmail.com

NAITWA PATRICK
UMRI WANGU 31
 
Pole sana kwa yaliyokukuta wakati mwingine hujui TU kwamba ilikuwa ni lazina yakukute ili ukomae...uache utoti wa kufikiri kwamba Kila kitu ni rahisi, moto ndio husafisha dhahabu.

Nafahamu kwa Sasa akili yako utakuwa umiivtune upya kama gamba gumu la chuma Cha pua ili kuweza kukabiliana na ulimwengu wa ulaghai.

Jitahidi kutenda mema hata a kama Kuna sauti zinazokushawishi kulipiza kisasi hata kama sio kwa yule aliyekutenda.

Tupo mchanganyiko wa wema na waovu

CHAGUA UPANDE WAKO
 
Mambo vp marafiki!
Hope mko salama….

Leo niko hapa kutafuta rafiki mmoja tu wa kike. Mtu ambaye atakuwa tayari kuongea na mimi, kushauriana, kupiga story

Sijawa tayari kuingia kwenye mahusiano kwa sasa kutokana na matukio fulani ya kimahusiano niliyopitia hivi karibuni, so nahitaji zaidi mtu wa kuongea nae tu.
I still need time to heal, maana kwa sasa sina kabisa hisia za mapenzi na sipendi kuwa ivo ila hama namna.

Sometimes in life you need just that one special person to tell you everything will be fine! Sio lazima awe mpenzi, Loneliness sometimes leads to mental illness 😣!
Awe (ke)
Na awe na hekima
Aje Dm au atume email
wolfmanwolfman1993@gmail.com

NAITWA PATRICK
UMRI WANGU 31
Nakuunganisha na rais mwenye maumbile ya kike.
 
Kila mtaa hua lazima kuwe na Kichaa japo mmoja tu,

Kama mtaani kwako hakuna Kichaa,jichunguze,huenda ikawa ni wewe.
 
Sijawa tayari kuingia kwenye mahusiano kwa sasa kutokana na matukio fulani ya kimahusiano niliyopitia hivi karibuni, so nahitaji zaidi mtu wa kuongea nae tu.
I still need time to heal
, maana kwa sasa sina kabisa hisia za mapenzi na sipendi kuwa ivo ila hama namna.
Una changamoto kubwa ila approach unayotaka kutumia kusolve sio kabisa, kupanga ni kuchagua kila la kheri utawapata wengi wa kusocialize nao
 
Back
Top Bottom