Lakikunene Member Joined Jul 18, 2017 Posts 98 Reaction score 92 Aug 15, 2017 #1 Habari, Natafuta rafiki wa kike wakushare nae idea pamoja na changamoto za kimasomo umri 18-21 Itapendeza pia mimi ni mwanafunzi wa elimu ya juu chuo fulani. Karibu Pm
Habari, Natafuta rafiki wa kike wakushare nae idea pamoja na changamoto za kimasomo umri 18-21 Itapendeza pia mimi ni mwanafunzi wa elimu ya juu chuo fulani. Karibu Pm
Jagood JF-Expert Member Joined Aug 15, 2016 Posts 2,141 Reaction score 2,388 Aug 15, 2017 #2 Haaah Wenyewe wanasemaga mbaya sana zikijaa, baada ya kushindwana na yule kiumbe umekuja kutafuta pakuponea mkuu
Haaah Wenyewe wanasemaga mbaya sana zikijaa, baada ya kushindwana na yule kiumbe umekuja kutafuta pakuponea mkuu
MBITIYAZA JF-Expert Member Joined Jan 22, 2017 Posts 14,947 Reaction score 26,074 Aug 15, 2017 #3 mie wa kiume hutak tushee ideas mku!au lazima girl
Akhy D JF-Expert Member Joined Jun 10, 2013 Posts 361 Reaction score 420 Aug 15, 2017 #4 Ukipata mkuu nishtue na mimi nianzishe kampeni...[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji252]You get what you work for not What you wish for [emoji252]
Ukipata mkuu nishtue na mimi nianzishe kampeni...[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji252]You get what you work for not What you wish for [emoji252]