Natafuta rafiki wa kike waku share nae ideas za kimasomo

Natafuta rafiki wa kike waku share nae ideas za kimasomo

Lakikunene

Member
Joined
Jul 18, 2017
Posts
98
Reaction score
92
Habari,

Natafuta rafiki wa kike wakushare nae idea pamoja na changamoto za kimasomo umri 18-21 Itapendeza pia mimi ni mwanafunzi wa elimu ya juu chuo fulani.

Karibu Pm
 
Haaah Wenyewe wanasemaga mbaya sana zikijaa, baada ya kushindwana na yule kiumbe umekuja kutafuta pakuponea mkuu
 
Ukipata mkuu nishtue na mimi nianzishe kampeni...[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

[emoji252]You get what you work for not What you wish for [emoji252]
 
Back
Top Bottom