Natafuta rafiki wa kike

Natafuta rafiki wa kike

Benylin

Member
Joined
Feb 9, 2017
Posts
44
Reaction score
26
Nafuta rafiki wa kike, umri miaka 20 hadi 24, baadae aje kuwa mchumba na hatimae kuwa mke. Awe anaishi Daresalaam, na mkristo.
Mim nina umri wa miaka 26, na ninafanya kazi. nipo Dar pia. Karibu PM kwa binti aliye serious tuyajenge.
 
Back
Top Bottom