Natafuta rafiki wa kike.

Natafuta rafiki wa kike.

Museven

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2011
Posts
629
Reaction score
449
Mi ni mwanamme, nahitaji msichana awe girlfriend wangu. Awe mtiifu, mwenye nidhamu na anayeishi Kahama. Kwa mawasiliano just PM me.
 
Wewe Prezida wa Uganda, unataka girl friend wakati mai waifu wako ni minister kwenye serikali yako! Unanishangaza sana!
 
Ninyi watu ovyo sana,unatafuta girlfriend JF!?Mtakuja kuparamia ma-Freemason mnyonywe damu mkome.Kwa nini usiende kwenu ukatafuta mwanamke?
Mi ni mwanamme, nahitaji msichana awe girlfriend wangu. Awe mtiifu, mwenye nidhamu na anayeishi Kahama. Kwa mawasiliano just PM me.
 
Kweli vijana wa siku hizi wameishiwa na mistari.
 
Back
Top Bottom